PhD kwa Mwl Christopher Mwakasege

Ndio maana kila wakati anasema 'Glory to God'
Yaani sifa na utukufu anastahili Mungu bwana wa Majeshi
 
Sijawahi kulielewa somo lake la LANGO kwamba kila uzao wa kwanza ni laana?...is it possible!
 
Ilimsikiliza siku moja anafundisha juu ya ndoto na tafsiri zake
Aiseee imani inataka moyo sana kuamini kwa kutumia akili za kawaida
Nikabaki najiuliza ina maana watu wote wanaamini anacho wafundisha au wanamaikiliza tu kwakuwa wana IMANI?
 
Back
Top Bottom