Muovu kwako na wenzako wenye mtazamo huo...ambao tunauheshimu.Hao anaowasaidia wampigie kura. Uzuri ujumbe umefika kuwa siku nyingine asijihusishe na siasa za kiongozi dhalimu, kisha atake kura za wote hata waliokuwa wakinyanyaswa na kiongozi muovu...
Ila swala likija kuwa la kimataifa tuwe wamoja maana Diamond anapeperusha bendera ya Tanzania au labda mwenzetu sio mtanzania..hii dhambi ya kunyoosha vidole itaendelea kuwatafuna mnaojiita wapenda haki...kuna usemi unaosema ukinyoosha kidole kumbuka vitatu vinapoint kwako.
Haki zilianza kukiukwa tokea enzi za mababu zetu msiproject pain zenu kwa kijana wetu let’s stay United..vote for Diamond..
Tanzania nakupenda kwa moyo wote..
Hongera Diamond kwa kazi nzuri ya kuitangaza Tanzania 🇹🇿...Mwenyezi Mungu akulindee