Peter Mutharika: Ziwa Malawi ni letu, hakuna umiliki wa pamoja, lazima tulinde mali yetu


Kuna tetesi ya kuweko mafuta ndani ya ziwa kwa hiyo makaburu na wakoloni ambao ni marafiki wa asili wa Malawi huenda wana mkono wao hapo.0
 
Sheria ya umoja wa mataifa ya ugawaji mipaka juu ya ziwa lililoko kati ya nchi mbili ni kwamba mpaka utapita katikati ya ziwa sasa sijui ni nchi gani ambazo zimepakana kisha inchi moja ikachukua ziwa lote na mpaka wake ukawa pembezoni mwa ziwa.!?
Huyu atakuwa na jambo lake si bure.
Hapo kwenye suala la Utaifa utofauti huwa tunaweka pembeni kabisa huwa hututaki ujinga kabisa.
 
Wanasheria wapi unakusudia kuwatumia?!
Kama ni hawa wa serikali wenye kuzuia dhamana kwa kesi yenye dhamana mtakuwa mmeliweka ziwa rehani.
Mkuu ni kweli si kila mwanasheria ANAWEZA. Ila ni wale waliosomea LAW of the SEA- MARITIME law in Boundaries Dispute Settlements. Hata kama ni wa NJE ni sawa tu.
 
Kwa hili tutampima Ngosha kama ni 'wakimataifa' au atawakumbatia kama Koromije.
hata Mimi nasubiri kwa bashasha kubwa kuona ujasiri wa ngosha ktk Ku deal na masuala tata yanayohusu Tz na majirani zake.

afahamu tu kwamba huku "mikurupuko" ya kutoa kauli za kukurupuka haitakiwi.

awaachie magwiji akina mahiga wamalizane nayo.
 
Baba Magufuli hapa ndio tunapotakiwa kuongea kwa mamlaka, kwa Vitendo na kuonyesha hata Cm moja ya nchi hii haiwezi kumegwa.

Kuna njia mbili za kufanya mheshimiwa rais, Waambia wale vijana wako walinda mipaka wafanye route matching mbili maeneo hayo, pitisha ndege zikiwa na kwenye mazoezi na wafanye low altitute flyover with banging noisy, na mazoezi ya wanamaji ndani ya eneo letu la mipaka majini.

Toa statement moja tu, tunafanya mazoezi ya kawaida
 
Chondechonde mjomba ccm ni chama cha mapinduzi kilishapindua hapa nchini unataka kikafanye mapinduzi na huko?
Halafu kama ikibidi kuzichapa basi wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama ndio wawe mstari wa mbele, wakifuatiwa na wana ccm.
Wak
 
magufuli alisema ukimlazimisha kufanya ndo hafanyi, sasa mutharika analazimisha magufuli ajue ziwa lake... ngoja afuatwe huko huko lilongwe
 
Gesi ya Mtwara bado mpaka leo haijaondoa tatizo la umeme Tanzania.Siungi mkono kupokwa ziwa Malawi ila haki itendeke kwa Tanzania na Malawi pia, Mwenye chake apewe.Am lready to go in the battle for my country but not in every battle.
 
Huyo Muthalika ana beep..hamjui Magu huyo ngoja achokoze aje aone moto..nchi yenyewe ndogo na masikini lakini hawatulii na hilo ziwa
 
Kweli kabisa Mkuu
Ukiona Mbuzi yuko Juu ya Mnazi ujue kuna aliyempandisha
 
Walichukue sasa, wanangoja nini? Kama wanajiona vidume walete jeshi lao lilinde mipaka yao wakione cha mtema kuni. Wasipige kelele tuu kama mbwa koko, wajeeeee.
acha ushabiki wa ukenge, utakwenda kupigana, unaleta uccm kwenye maisha wa watotot wa wenzako.
 
Hizi kelele zimeanza toka enzi ya JK kwa JPM ni muendelezo tu!
 

Wakati huu wote hakukuwa na Nchi, yote yalikuwa ni makoloni... Katika ziwa hili Tanzania ina maslahi yake kama ilivyo Malawi....

Malawi akijaribu Wtz tutakuwa wamoja na tutaifanya hiyo nchi iwe mkoa wetu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…