ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,114
Naangalia mgogoro huu kama kuna kitu nyumaa! Malawi sio wajinga kuna wqtu nyuma yao hawataki utawala huu! Unaweza kuona tutachapika vizuri tuu ! Ukute kuna nchi kibao nyuma ya malawi! So wakati mwingine ukichokozwa inabidi uangalie mara mbili mbili kuna nani nyumaa! Anaweza kaja mtu kukupiga ukadhani yupo peke yake kumbe wapo wengi
Kuna tetesi ya kuweko mafuta ndani ya ziwa kwa hiyo makaburu na wakoloni ambao ni marafiki wa asili wa Malawi huenda wana mkono wao hapo.0