Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,238
- 4,807
Nataka kumwambia DPP aache KUPOTOSHA UMMA. Hakuna SHERIA yoyote inayomzuia WAKILI kuweka NYARAKA kwenye MTANDAO. Kama DPP anataka kuwa MWANAHARAKATI wa KUMTETEA ndugu PAULINE GEKUL, basi, AACHE Ofisi ya Umma na AJE TUPAMBANE JUKWAANI.
Ni muhimu JAMII ifahamu kwamba, HASHIM ALLY hakuridhika na kitendo cha DPP kuiondoa MAHAKAMANI kesi ya JINAI dhidi ya PAULINE GEKUL. Hivyo AMEKATA RUFAA. Kama DPP anadhani alikuwa SAHIHI kufanya alivyofanya, basi TUKUTANE MAHAKAMANI
Alichokisema DPP