Peter Kibatala: Tumeulizwa sana kuelezea kuhusu nini kinaendelea katika kesi ya Godbless Lema

Kibatala naona amekuwa wakili wa mitandaoni,hajioni kama ameanza kuchanganyikiwa.Mbona hatuwasikii mawakili wa Sioi wakiharisha mitandaoni?
 
Mwenendo wa kesi unaonyesha wanasheria wa Lema hawajaiva.Wanasheria wa serikali wanatumia mbinu za kisheria kumbakisha Lema

Wanasheria wa Lema wajipange hadi hapa walipofika wamefeli kwa sehemu kubwa
Sawa mwanasheria wa JF ila ungeongezea jinsi ya kuwapika waive kwenye awamu hii ya maagizo toka juu.
 
Lema yuko imara sana, sana; na keshakuwa kama Mwanasheria na yeye huko aliko; anajua kila kitu cha kiSheria siku hizi.
Kma anajua kila kitu kwa nini kibatala aendelee kubweka mitandaoni si asimame mwenyewe ajitetee basi...huna hoja wewe acha mihemko ya kwenye mitandao...
 
Lema ni mhalifu tu kama wenzie huko Kisongo sioni sababu yoyote ya kuumiza kichwa kumtoa wakati ameamua kwenda mwenyewe Kisongo baada ya rafiki zake kumzuia asimpeleke mkewe jela.
 
Godbless Jonathan Lema ni shujaa wa taifa kama walifikiri kumwekea mahabusu ndo watamrudisha nyuma ndo wanamwongezea ujasiri
 
Lema ni mhalifu tu kama wenzie huko Kisongo sioni sababu yoyote ya kuumiza kichwa kumtoa wakati ameamua kwenda mwenyewe Kisongo baada ya rafiki zake kumzuia asimpeleke mkewe jela.
Mnaogopa mpaka ndoto kwani dikteta uchwara hatokufa?
 
Acheni kushabikia ujinga nyinyi Lema wakimfunga familia yake ndio watakaoumia sio nyinyi mnaotumia ID feki humu mitandaoni.

Kwahiyo muache ushabiki maandazi.

Lema yuko imara sana, sana; na keshakuwa kama Mwanasheria na yeye huko aliko; anajua kila kitu cha kiSheria siku hizi.
 
Wewe umeshakuwa una uchungu kuliko Neema Lema peleka unafiki huko.
Acheni kushabikia ujinga nyinyi Lema wakimfunga familia yake ndio watakaoumia sio nyinyi mnaotumia ID feki humu mitandaoni.

Kwahiyo muache ushabiki maandazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…