MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Kama Mahakama ilitoa dhamana na kuna mtu amezuia dhamana ...Je hakuna jinsi nyingine ya kufanya ili Lema apate hiyo dhamana?1.Kosa la Lema kisheria linahitaji dhamana
2-Mahakama ilimpa dhamana baada ya dakika 10 wakazuia dhamana yake bila sababu za msingi
3 -Anayezuia dhamana ya Lema ni mtu mmoja anayejiona yeye ni Mungu.
Sababu za kuzuia dhamana ni chuki binafsi