Kwaiyo utampima vipi au nikikutumia picha ya vidole vyake itakuwa poa??Hello, inategemea na size ya kidole cha anayevalishwa. Ingawa design nzuri yenye jiwe la kiyo(Gemstone) huanzia 250,000 .
Ingawa nikijua size na design anayopendelea naweza kukupa precise bei.
Karibu.
Hello Munkari,Pete za ndoa ni sh ngap mkuu.
Asanteeeeee sana mkuu.mkuu nimeku follow insta pia nimefurahia kazi zako nitakutafuta kwa ajili ya pete za ndoa hope hautaniangusha mkuu
pia naomba makadirio yako ya hizo pete mbili
n.b
vidole siyo vinene ni vya kawaida
Na pia inawezekana pete kuandikwa majina au maneno....Hello Horseman, ndio inawezekama ,tena Pete nzuri special design.
Karibu.
Hivi ukiandika hapa mahali ulipo nini kinapungua kwakoHabari
Nadesign na kutengeneza Pete kwa mahitaji mbali mbali kama engagement, harusi, na matumizi ya kawaida. Vile vile natoa ushauri juu ya jewelry za gems mbali mbali.
Unaweza kupata Pete ya dhahabu kuanzia shs. 130,000
View attachment 335279View attachment 335280
View attachment 335277
Kwa anayehitaji aje PM hata kama ni kuhitaji ushauri
Karibuni.
Mkuu, ni kwa wanaohitaji, kama humhitaji basi tulia tu.Hivi ukiandika hapa mahali ulipo nini kinapungua kwako