Pesa zetu si salama tena Benki, kuna wizi unafanywa na wafanyakazi

Brown14

Member
Apr 10, 2024
15
15
Benki mbona kama hakuna usalama Tena..

Hivi hiii hali ya kupoteza hela benki inatokana na nini maana mimi naona kama hii hali imezidi sasa.

Siku mmoja nimeingiziwa Benki pesa kama laki 5 hivi, wakati naenda kutoa nakuta hamna hata mia. Naenda kuuliza ndani wananiambia nimecheza michezo ya kubashiri wakati sina hata simu banking, nilipigwa na butwaa

Baada ya kupatwa na hasira na kufuatilia serious nikaambiwa pesa ilichukuliwa na mfanyakazi wa humo humo bank

Nikaenda hadi ngazi za juu wakanirudishia, sasa hili sakata limetokea tena kwa bibi yangu na mjomba wangu mmoja laki saba mwingine milioni moja

Ina maana bank hakuna usalama kabisa kiasi hicho...?
 
Kuna bank kama mbili waliwahi kunifanyia upumbavu huo!
Moja wafanyakazi waliagizia mzigo wa nguo kutokea Bangladesh, cha kushangaza nikapokea email inanitaka ni sign kuidhinisha malipo! Ilinichujua 3 weeks hela kurudishwa!

Wapili wao walinyima hela kabisaaaa na imeshaingia! Aisee hawa waliniomba moaka marriage certificate na mengineyo na hela sikuipata!! Ila baada ya wiki ilirudi ila cha mtema kuni walikipata yaani wao na waajiri wao! Walipata pigo!

Watatu hawa walinipa golden card ila kumbe wamezioda mbili! Nikitoa na wao wanatoa! Ila na wao hawatakaa wanisahau!

WIZI UPO KWENYE MABENKI!
BOT NA WIZARA INABIDI WAINGILIE KATI
 
Habari yenyewe umeandika general sana kama hauna uhakika na taarifa unayotoa. Ungetaja jina la bank na kuelezea walau for how long imechukua kufanikisha? Je Bibi na mjomba nao wametapeliwa the same bank au?

Sometimes hata kuwaanika humu inasaidia wao kupata feedbacks za uchafu wanaofanya na pia kuna wanasheria humu wanaweza kujua wapi pa kuanzia ili kuiwajibisha bank.
 
Mleta uzi wewe hujielewi uzi gani sasa huu hauna hata jina bank na hata majina ya wao walio kuibia? unawaogopa kuwataaja mbona wao hawakusita kuchukua hela yako?taarifa kama hii lete full deteils
mfano jina la bank
mahali ilipo
hao majambazi na matapeli walio jivika jina la utumishi wa bank unawataja majina yao matatu ikiwezekana hata jina la mwalimu wao ajue nae kuwa alifundisha matapeli kwa kigezo cha kujua mahesabu .
 
Benki mbona kama hakuna usalama Tena..

Hivi hiii hali ya kupoteza hela benki inatokana na nini maana mimi naona kama hii hali imezidi sasa.

Siku mmoja nimeingiziwa Benki pesa kama laki 5 hivi, wakati naenda kutoa nakuta hamna hata mia. Naenda kuuliza ndani wananiambia nimecheza michezo ya kubashiri wakati sina hata simu banking, nilipigwa na butwaa

Baada ya kupatwa na hasira na kufuatilia serious nikaambiwa pesa ilichukuliwa na mfanyakazi wa humo humo bank

Nikaenda hadi ngazi za juu wakanirudishia, sasa hili sakata limetokea tena kwa bibi yangu na mjomba wangu mmoja laki saba mwingine milioni moja

Ina maana bank hakuna usalama kabisa kiasi hicho...?
Benki wanaiba siku nyingi sana. N benki gani? Zianike hadharani ili watu wachukuwe tahadhari. Hawa ungewafungulkia kesi, kurudishiwa fedha tu hakutoshi.
 
Hiyo ilikuwa fursa nzuri sana, Siku nyingine tafuta Mwanasheria upige mpunga wa bure.
Daaaah yan ilinipa uwoga sana
Huu ni uzushi tu.
Uzushi kama hayajakukuta ndug yang
Itaje sasa hiyo Benki ili utusaidie sisi kujihami.
Aaah n
mim nisha wai pigwa 380,000 wakanizungusha sana baada ya mwaka wakanilipa
Watu wanahisi n masihara wanahisi tunachafua sifa za bank lakin ukwel ndo huo
 
Mleta uzi wewe hujielewi uzi gani sasa huu hauna hata jina bank na hata majina ya wao walio kuibia? unawaogopa kuwataaja mbona wao hawakusita kuchukua hela yako?taarifa kama hii lete full deteils
mfano jina la bank
mahali ilipo
hao majambazi na matapeli walio jivika jina la utumishi wa bank unawataja majina yao matatu ikiwezekana hata jina la mwalimu wao ajue nae kuwa alifundisha matapeli kwa kigezo cha kujua mahesabu .
Hawakuniambia majina yao bal walikua wanataja namba ya ID ya uyo mfanyakaz
 
Kuna bank kama mbili waliwahi kunifanyia upumbavu huo!
Moja wafanyakazi waliagizia mzigo wa nguo kutokea Bangladesh, cha kushangaza nikapokea email inanitaka ni sign kuidhinisha malipo! Ilinichujua 3 weeks hela kurudishwa!

Wapili wao walinyima hela kabisaaaa na imeshaingia! Aisee hawa waliniomba moaka marriage certificate na mengineyo na hela sikuipata!! Ila baada ya wiki ilirudi ila cha mtema kuni walikipata yaani wao na waajiri wao! Walipata pigo!

Watatu hawa walinipa golden card ila kumbe wamezioda mbili! Nikitoa na wao wanatoa! Ila na wao hawatakaa wanisahau!

WIZI UPO KWENYE MABENKI!
BOT NA WIZARA INABIDI WAINGILIE KATI
Ni kwel unachosema
 
Back
Top Bottom