Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,319
- 72,748
Hamna haja ya kusumbua wale waadilifu kurudia uchaguzi. Hata ndani ya ccm wapo wasafi kabisa ila ni wachache sana na hao ni kwa vile wananchi waliweka juhudi zao wapite lakini chama chao kina chuki nao za chini kwa chini kwa kutotekeleza sera yao ya rushwa. Hiyo ni sera kamili ya chamaMkuu Chakaza kama idadi ni hiyo zaidi ya 150 naona kuna umuhimu wa kutisha uchaguzi mpya maana wabunge wote wa ccm hatuta kuwa nao bungeni