Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Wazee nnahitaji kudownload Fifa 19 inasema ina gb50,je natakiwa kuwa na data ya GB hizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee nnahitaji kudownload Fifa 19 inasema ina gb50,je natakiwa kuwa na data ya GB hizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nimedownload PES 2017 Kutoka Micano, nime install fresh tatizo game pad hazi respond kwenye PES tu. Nikifungua Need for speed au fifa 14 zinapiga mzigo fresh tu. Tatizo ni nn hapa.
Pro Evolution Soccer 2017 PC Game – Repack Black Box - Micano4u | PES Patch | FIFA Patch | Games
Right click hiyo game shortcut kisha open file location then utakuta software ya setting. Nenda setting. Kisha controller setting kisha fungua sehemu yenye vistari (_ _ _)
Halafu ukiopen hapo utaiona pad yako ibonyeze then weka yes.
But. Ukikwama usisite kunijulisha. Ila sio kazi kabisa.
troublemaker 2019. all right received.
iv mkuu patch ya fifa ambayo ipo updated ronaldo yupo juve imetoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nina Hp Ram 4gb, intel core i5, processor 1.8Ghz inawaza kuinsta games kama FIFA,PES
Sent using Jamii Forums mobile app
Fifa ya mwaka gani?
troublemaker 2019. all right received.
now natumia iyo mkuu je kuna mpya zaid ya iyo ?Mbona patch ipo muda tu. Link yake ipo hapo nyingine imetoka juzi tu...
troublemaker 2019. all right received.
now natumia iyo mkuu je kuna mpya zaid ya iyo ?View attachment 1054508
Sent using Jamii Forums mobile app
Cpu i3 2nd gen (i5, i7 kuanzia 3rd gen itakuwa vyema)Naomba kuuliza nataka nunua pc ili niweze weka fifa 2019 je nahitaji iwe na uwezo gani ili nikiweka game nicheze bila shida?
naomb untumie link mkuuZipo nyingine mkuu full transifer, kit pack n.k
troublemaker 2019. all right received.
Hivi huo ukubwa wa Gpu ndio unauangalizia wapi?Cpu i3 2nd gen (i5, i7 kuanzia 3rd gen itakuwa vyema)
Ram 8 gb
Gpu 2 gb
troublemaker 2019. all right received.
https://www.micano4u.org/2018/08/fifa-14-next-season-patch-2019-update_27.html?m=1
shukran boss nitaleta feedbackhttps://www.micano4u.org/2018/08/fifa-14-next-season-patch-2019-update_27.html?m=1
Kama tiari una patch ya kwanza.
Download hiyo ni v4 all in one (ipo humo ndani v2,3 na 4 yenyewe)
Then download v5 na v6
troublemaker 2019. all right received.