PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

Ndio biashara yao ilivyo mkuu, waki update hutanunua game jipya. Siku zote update za msimu mpya zinatoka kwa 3rd party developers na sio wenyewe.
Nimecheki hapa steam pre oder ni dola 69.

Halafu kimuonekano safari hii litakuwa halina tofauti sana na hili.
 
PAD ZA XBOX ORIGINAL NAUZA 150000 Moja maongezi yapo
ni og

Genuine Xbox Series S/X Wireless Controller

zinatumika pia kwenye pc kwakutumia waya wa type c au bluetooth
0657977457
Dar es salaam
 

Attachments

  • IMG_1231.jpeg
    1.6 MB · Views: 4
  • IMG_1230.jpeg
    1.9 MB · Views: 4
  • IMG_1227.jpeg
    1.5 MB · Views: 4
  • IMG_1224.jpeg
    1.9 MB · Views: 5
  • IMG_1217.jpeg
    1.3 MB · Views: 3
Pc mkuu Xbox pad kwenye pc hazihitaji configuration, ukichomeka tu zinapiga kazi, na mfumo wake X-input ndio standard ya game za pc so inakubali games nyingi sana.
Hapo sawa.
Samahani kwa usumbufu mkuu, kuna jamaa yangu anataka kuniuzia PS4 Pro aliyokuwa akiitumia kwa shilingi 500000. Kabla sijafikia uamuzi wa kuinunua, naomba ushauri wako.
Kwa hiyo gharama na bajeti kipi ni sahihi zaidi kufanya, kuinunua hiyo PS4 au kununua PC ambayo naweza kuitumia kucheza games?
 
Mimi binafsi ni mtu wa PC, sema pc inataka ujuzi kidogo wa configuration, pc ya laki 5 mtumba itarun games zote kubwa kubwa.

Kama huna muda wa kuanza kukimbizana na ram, Gpu na mambo mengine ya PC nunua ps4.
 
Mimi binafsi ni mtu wa PC, sema pc inataka ujuzi kidogo wa configuration, pc ya laki 5 mtumba itarun games zote kubwa kubwa.

Kama huna muda wa kuanza kukimbizana na ram, Gpu na mambo mengine ya PC nunua ps4.
Hivi mkuu Nvdia gt 1030 inaweza kurun fc24 bila shida yoyote?
 
Kwa kuanzia sio mbaya mkuu, baadae unanunulia gpu.

Kama una budget kubwa zaidi zipo machine nzuri zaidi
Haikai gpu mkuu hizo madhine ni sff.

Yaani labda uweke gpu za gt ama Radeon ambazo kiuwezo unakuta zinazidiwa na hiyo gpu ya vega inayokuja na cpu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…