kimanganuni
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 323
- 170
Nguvu za ke na me zitaisha sijui itakua mgeni wa nani
Kumbe wewe ni mirinda?Mimi ni mgonjwa wa pepsi..hasa ya chupa..ile soda ni tamu sana
sana sana ya 500/= ile ya 1000 nakunywa kwa nadra sana.Hadi na wewe unapenda ya 500 au ya 1000
Ntakuletea hata ya blueray.... Have a nice valentineNiletee maji mengiii ya kilimanjaro utakuwa umeokoa afya yangu
Sawaa tutakunywaaPepsi "Dare for more"
Mara ina sumu mara ina cocain mara hiv mara vle, swal ni..... Je Pepsi ndo ilimuua Kanumba? Je Pepsi ilmuua Mafisango? Je Pepsi ilmuua Filikunjombe? Jibu ni hapana, kwa wale mnaokunywa kunyweni for your own risk, mi cjui kwa nn nazchukia soda na hata kwa maombez cwez kunywa soda yyte ile
Jibu mujarab kabisa, mtu anachemsha pepsi kwenye 100 degrees wakati joto la tumboni halifiki hata 40 degrees.. Hizi experiments nyingine hazina mashikoKwani tumboni kuna jiko itachemka?imetengenezwa ili inywewe sio ichemshwee,,hata we ukichukua nguo yako uichome moto lazima iharibikee
Well well well.. Nakuaminiasapraiiziiiiii don't let anyone know our spot today