Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
- Thread starter
- #41
Hoja kuntu sana hii.Si na wao wananafasi ya kutengeneza bajet mbadala kwa kuonyesha vyanzo vya mapato au wao ni kupinga tu mwanzo mwisho
Hoja kuntu sana hii.Si na wao wananafasi ya kutengeneza bajet mbadala kwa kuonyesha vyanzo vya mapato au wao ni kupinga tu mwanzo mwisho
kwanini wanapinga walioyasema?Anayetekeleza yaliyokuwa yanasemwa na CHADEMA ana imani nao ndiyo maana anafanya waliyoyasema,msiojua CHADEMA walipokuwa wanayasema ndio muliokuwa wapinzani wa kubwa wa mambo yaliyokuwayanasemwa.
Kwa kuwa mumeamua kucheza muziki wa CHADEMA,CHADEMA wataendelea kuwatazama jinsi mnavyo serebuka na kukata viuno wakati mnacheza muziki wao,wanachofanya na watakachoendelea kukifanya ni kuwasahihisha makosa yenu mnayoyafanya wakati mnacheza muziki wao na hapo ndipo mnapokuja na hoja zenu za kusema kuwa CHADEMA wanapinga kila kitu.
Ni kweli yapo mengi lkn ni yapi yasiyokuwa kwnye siasa?? Siasa ndio inaongoza maisha yetu ya kila siku.ni kweli hata shetani kz ake ni kupinga mazuri yoote anayofanya mungu.yeye shetani hakuna jema lolote litokalo kw mungu.yoote ni mabaya.Na huyo roho wa shetani akikupanda wewe ytapinga kila kituWe jamaa ina maana huwezi kuanzisha uzi ambao Chadema haihusiani? Mbona una akili mgando sana kias hicho? Kila kukicha ni Chadema tu? TANZANIA ina mambo mengi mkuu
Wewe mwenye upeo wa kufikiri.kitu gn kinachofanyika tz kisichomhusu mtz? Duu machiz kumbe tupo wengi.Fikiri nje ya box, kila siku wewe na chadema tu tena unaiandika kwa mabaya, binadamu mwenye akili kama yako ni hatari kwenye jamii, ya nini kusumbuka na asie kuhusu?! Unatia kichefuchefu sasa kila ukiandika chadema, si lazima uanzishe mada soma za wengine huna upeo mkubwa wa kufikiri.
Na nasikia kasema huko kwa Machadema menzake,wote hawana sifa za kugombea urais zaidi yake!Hili tatizo la kupinga kila kitu sasa limegeuka sumu, Chadema ilianza kama Chama chenye mawazo mbadala, baadaye kama chama/serikali mbadala huku wakiwaainisha maadui wa nchi kwa uaminifu mkuu. Baadaye wakanunuliwa na wale waliowaita maadui wa nchi na hapa ndipo balaa likaanza. Tukashuhudia pepo la kupinga kila jema likiwavaa.
mambo mengi waliyowahi kuyapendekeza ikiwamo kufuta ushuru kwenye mazao,kutambuliwa kwa wamachinga na kudhibiti mapato na kodi kwenye madini pamoja na udhibiti wa matumizi sasa wamegeuka kuwa wapingaji wa mambo hayo na kibaya zaidi siku hizi hawaji na hoja mbadala,utasikia tu 'hakuna kitu', 'wanakosea', 'mpinzani hutakiwi kuunga mkono hoja' nk..nk..nk.
Niseme tu, kupinga mfululizo husababisha sumu mwilini na baadaye mpingaji hugeuka sumu, ni pepo..na ngumu kuaminika tena. Mfano mdogo ni jinsi ambavyo Tundu lissu alivyogeuka sumu kwa nchi yake na kila dalili zipo atakuwa sumu kali kwa chama chake. Kilichobaki ni kutafunana wenyewe kwa wenyewe.
Nawasilisha.
Pole sana kaka wale maadui watatu wa maendelleo aliosema Nyerere wakati tuna pata uhuru Maradhi, ujinga na umasikini. Alisahau tatizo moja angekuwa hai lazima ange update hiyo list na kuongeza la nne ambalo ni CCM.Umeyaona hayo unayosema kwenye hoja ya mleta mada?Hebu soma content ya kilichoandikwa,kuna hata kimoja alichokibainisha mleta mada katika kujenga hoja yake???
Kaandika upuuzi!
Binti hivi huwa unapata wapi muda wa kumpikia mmeo kama kila wakati uko Jamii Forums kushangilia uchafu wa nzi wa kijani wa Lumumba?Hili tatizo la kupinga kila kitu sasa limegeuka sumu, Chadema ilianza kama Chama chenye mawazo mbadala, baadaye kama chama/serikali mbadala huku wakiwaainisha maadui wa nchi kwa uaminifu mkuu. Baadaye wakanunuliwa na wale waliowaita maadui wa nchi na hapa ndipo balaa likaanza. Tukashuhudia pepo la kupinga kila jema likiwavaa.
mambo mengi waliyowahi kuyapendekeza ikiwamo kufuta ushuru kwenye mazao,kutambuliwa kwa wamachinga na kudhibiti mapato na kodi kwenye madini pamoja na udhibiti wa matumizi sasa wamegeuka kuwa wapingaji wa mambo hayo na kibaya zaidi siku hizi hawaji na hoja mbadala,utasikia tu 'hakuna kitu', 'wanakosea', 'mpinzani hutakiwi kuunga mkono hoja' nk..nk..nk.
Niseme tu, kupinga mfululizo husababisha sumu mwilini na baadaye mpingaji hugeuka sumu, ni pepo..na ngumu kuaminika tena. Mfano mdogo ni jinsi ambavyo Tundu lissu alivyogeuka sumu kwa nchi yake na kila dalili zipo atakuwa sumu kali kwa chama chake. Kilichobaki ni kutafunana wenyewe kwa wenyewe.
Nawasilisha.
sijakuelewa, huwa siwaelewi machizi sina taaluma ya mirembe.Wewe mwenye upeo wa kufikiri.kitu gn kinachofanyika tz kisichomhusu mtz? Duu machiz kumbe tupo wengi.
Si wanatoa hoja mbadala jumatatu ama??? Ssa wamepinga lini??? Wakati jumatatu ndio "wanapinga" kwa hoja mbadala na kushauri mambo machache yanayotakiwa kufanyiwa mabadiliko!!!!Kama huna hoja si lazima kuchangia, Wakudadavua ametoa hoja nzuri kwa mwelekeo wa vyama vyetu mbadala wanapinga hata yale yaliyokuwa wanapendekeza kweli wanafaa kuongoza nchi?
Chizi ni yule asiejitambua.na asie juwa hili jema au baya.machizi wako kuanzia mbumbu asie juwa kusoma na kuandika.mpaka wenye digree machizi wapo.sijakuelewa, huwa siwaelewi machizi sina taaluma ya mirembe.
umempa hoja nzito,hawezi kurudi.Wewe mwenye upeo wa kufikiri.kitu gn kinachofanyika tz kisichomhusu mtz? Duu machiz kumbe tupo wengi.
Maoni ni jumatatu sasa hiyo kupinga kila kitu umeitoa wapi?? Au maoni ya mtu mmoja moja humu Jf Ndio msimamo wa upinzani wote???jenga hoja na si kubweka dogo.