Kwani msimu ulipita chelsea ilikuwa ubingwa ikiwa na mechi ngapi mkononi? Mbona unajitoa ufahamu kisa mahaba ya ligi? Na ukumbuke pia Chelsea iliongoza ligi mwanzo hadi mwisho wa ligi.
Karibu Pep kwenye EPL. Huku hakuna mapumziko ya Xmass wala mwaka mpya ligi inapigwa mfululizo, jipange vizuri, huku ufundi sio sana, huku mtaji ni nguvu.