Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,137
- 3,323
Kwani msimu ulipita chelsea ilikuwa ubingwa ikiwa na mechi ngapi mkononi? Mbona unajitoa ufahamu kisa mahaba ya ligi? Na ukumbuke pia Chelsea iliongoza ligi mwanzo hadi mwisho wa ligi.Ishu sio uwezo
ishu ni kuwa epl
hakuna kuteleza tu
eti ubingwa bado mechi nane...