Penzi jipya tamu khah! Sio kwa simu hizi aisee!

Wavulana na drama zao katika mapenzi,Ukikua utaacha
Acha izo wewe binti. Utafurahi mpenzi wako akupigie simu kila baada ya dakika 20 na akimaliza muendelee kuchat tu bila mada ya msingi? Mnajitoa ufahamu wakati jambo hili linakera sana
 
Watu huachana kwa sababu sasa huyu jamaa hata pasipo sababu aseeh
sababu ipo! mrembo anasumbua kila time anapiga simu na kutaka kuchat muda wote!

mwisho wa wiki hela ya kushonea manywele bandia jamaa atapata wapi sasa?

Amuache tu kimya kimya aseeee
 
Kwa wanaume ninaowajua mimi ukimpigia mara ya kwanza atakusalimia vizuri ya pili anakuuliza 'unata nini' kwa sauti flani hivi. Hupigi tena ukifiria hujui unachotaka na sauti wala si ya kubembeleza.
Sasa imagine upate hizo calls mara 30 kwa siku hahahaha. Nafwaaaa
 
Mwenye mapenzi ya thati na mwenza humuelewesha tuu kwa nia njema kbs na km ni muelewa hatopinga ulichomueleza.
Muite mueleze tuu.Haina haja ya kuexit wakati ndo kwanza penzi jipya,mueleweshe tuu bila shaka ataelewa kile unachokimaanisha
(Ila na sm za penzi jipyaunawezajikuta we ni malaika kwakweli,muda wote masimu na masms)
Mkuu bora wewe umetoa ushauri na pia ume admit kwamba kuna kero flani kwenye penzi jipya. Nitajaribu kukaa nae nimueleweshe
 
Wabongo tuna visa sana. Ukipendwa unaona kero na kuomba exit strategy

Ukiumizwa ooohhh "wanawake wanaumiza, hawana mapenzi yakweli".

Ila ujue Mungu naye ni mjuzi sana watu kama nyie huwa anawajaribu kuwaletea watu wakuwapenda kweli ila kwa akili zenu mnatafuta namna ya kuondoka unapopendwa kwenda kupenda usipopendwa.

Jitahidi utapata unachokitafuta, acha mie nibaki ninapopendwa hata ikipigwa simu saa tisa za usiku napokea tu hamna namna
Hujaelewa kabisa ishu hii. Suala sio kupigiwa simu. Suala ni kupiwa simu mara kwa mara mpaka mada za kuongea zinaisha. Na sms juu
 
Wabongo tuna visa sana. Ukipendwa unaona kero na kuomba exit strategy

Ukiumizwa ooohhh "wanawake wanaumiza, hawana mapenzi yakweli".

Ila ujue Mungu naye ni mjuzi sana watu kama nyie huwa anawajaribu kuwaletea watu wakuwapenda kweli ila kwa akili zenu mnatafuta namna ya kuondoka unapopendwa kwenda kupenda usipopendwa.

Jitahidi utapata unachokitafuta, acha mie nibaki ninapopendwa hata ikipigwa simu saa tisa za usiku napokea tu hamna namna
Kwa hiyo unataka mtu aendelee kukaa hasipopapenda ?.
 
sababu ipo! mrembo anasumbua kila time anapiga simu na kutaka kuchat muda wote!

mwisho wa wiki hela ya kushonea manywele bandia jamaa atapata wapi sasa?

Amuache tu kimya kimya aseeee
Duuh asimwache bwana amwonye ataacha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom