Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,018
Siri za serikaliHivi kwa nini Lowasa ameacha zile harambee?!?
Siri za serikaliHivi kwa nini Lowasa ameacha zile harambee?!?
Kama pana uwezekano watiwe mijeredi kwanza kabla ya kupimwa akili maana ni hamnazo tu ndo mwenye fikra kama zao mijitu inakuwa na roho mbaya mpaka inajichukia mienyewe.Huyo/hao wabunge waliotoa pendekezo hilo wanatakiwa wakapimwe akili zao maana haziko sawa. Watu wana hama dini itakuwa chama??????
Mwongo sana weweBaadhi ya wabunge wa CCM wamependekeza itungwe sheria ili wanasiasa watakaohama chama cha siasa wanyimwe pensheni zao lakini pia wabunge hao wameenda mbali zaidi na kutaka itungwe sheria ya kuwabana watumishi waliotumikia nyadhifa za juu kabisa za kiserikali wasihame vyama mara baada ya kumaliza muda wao wa utumishi wa umma.
Ndio Maphilosopher wa kibongo hao wanahubiri uwongo na uzandiki tu, ni hatari kweli kwa mustakabali mzima wa taifa hili. Sawa mkuu The Phirosopher umesomeka.Baadhi ya wabunge wa CCM wamependekeza itungwe sheria ili wanasiasa watakaohama chama cha siasa wanyimwe pensheni zao lakini pia wabunge hao wameenda mbali zaidi na kutaka itungwe sheria ya kuwabana watumishi waliotumikia nyadhifa za juu kabisa za kiserikali wasihame vyama mara baada ya kumaliza muda wao wa utumishi wa umma.
Inategemea dini gani. Zingine ukihama unatakiwa kukaa mafichoni la sivyo Israel atakupitia kabla ya wakati wakeHuyo/hao wabunge waliotoa pendekezo hilo wanatakiwa wakapimwe akili zao maana haziko sawa. Watu wana hama dini itakuwa chama??????