Unafanya kazi gani mkuu???
Ni swali zuri embu jibu unafany kaz gan ww?Wadau nimefuatilia kwa muda mijadala ya sababu za kushuka kwa elimu yetu na nini kifanyike. Katika mijadala hii lipo kundi la upande wa waalimu, watunga sera, wachambuzi wa sera, wazazi, waalimu nk.
Kila kundi limejaribu kuonyesha mapungufu ya upande fulani. Wengi tumepitia shule na vyuoni na waalimu wetu tunawajua na wengine hata majina tumewapa kwa ufundishaji wao ama mzuri au mbaya.
Pendekezo langu ni kuwa kila NECTA wanapotoa paper zao za kidato cha 4 au 6 mwalimu wa somo husika afanye na darasa lake na usahihishwe na NECTA.
Nia ni kuona kiwango cha waalimu husika cha waalimu wa masomo hayo kama kweli wanauelewa wa kutosha na kama kweli wanafunzi wanafaulu kwa kufundishwa au kwa juhudi zao binafsi?
Na huo uwe sehemu ya hitaji kwa mwalimu kupandishwa cheo/ daraja.
Nawasilisha.
Sasa huoni utamwadhibu mtu mtu ambae sio muhusika? Yeye kapokea mtoto toka form one huko je kwa kumfundisha form four itaweza kukupa matokeo halisi ya mtihani huo?Kwa mawazo haya sidhani kama umepita chuoni maana unaonekana ni mbovu kuliko mwanafunzi wa darasa la IV.Hivi anayefundisha Mathematics form IV lazima awe amefundisha wanafunzi hao kuanzia form I had III? AU hukuona hilo udhaifu katika fikra zako.
Tatizo kubwa ninalo liona kwako ni kutokujua ninani anaue sahihisha hiyo mitihani huko necta , huenda unadhani necta ni aina ya kifaa fulani ambacho kinafanya kazi na baraza la mitihan, unasahahu kwamba anaye tunga mtihani nimwalimu,anaye sahihisha ni mwalimu huyohuyo, anaye panga matokeo ni mwalimu huyohuyo,ila anaye tangaza matokeo ndio waziri au katibu wa baraza la mitihani ambalo ndio hiyo NECTA ,Wadau nimefuatilhia muda mijadala ya sababu za kushuka kwa elimu yetu na nini kifanyike. Katika mijadala hii lipo kundi la upande wa waalimu, watunga sera, wachambuzi wa sera, wazazi, waalimu nk.
Kila kundi limejaribu kuonyesha mapungufu ya upande fulani. Wengi tumepitia shule na vyuoni na waalimu wetu tunawajua na wengine hata majina tumewapa kwa ufundishaji wao ama mzuri au mbaya.
Pendekezo langu ni kuwa kila NECTA wanapotoa paper zao za kidato cha 4 au 6 mwalimu wa somo husika afanye na darasa lake na usahihishwe na NECTA.
Nia ni kuona kiwango cha waalimu husika cha waalimu wa masomo hayo kama kweli wanauelewa wa kutosha na kama kweli wanafunzi wanafaulu kwa kufundishwa au kwa juhudi zao binafsi?
Na huo uwe sehemu ya hitaji kwa mwalimu kupandishwa cheo/ daraja.
Nawasilisha.
Chuki na dharau zako dhidi ya walimu wala haziita kusaidia kitu chochoe kwa sababu mwalimu ni msaada kwako hadi unaingia kaburini kwa hiyo unacho fanya wewe ni ujinga tu sina hakika kama wewe una kipimo kizuri zaidi na uwezo mzuri zaidi wa ufahamu kuliko serikali iliyo mpa dhamana mwalimu huyo kwa kuona ana vigezo vya kulitumikia taifa, maana fahamu kuwa ualimu hawapeani kama njugu, mtu kaingia darasani kasoma miaka mitatu au miwili kafanya mtihani kafuzu ndio katapa hicho cheo cha ualimu, mimi ni mwalimu na watoto wanafanya vyema katika somo langu na wengine wanafauru vizuri zaidi kuliko hata marks nilizo pata mimi katika somo hilohilo ninalo fundisha lakin wametoka mikononi mwangu. Nikutakie kila la heri.Ni mwalimu mmoja tu amethubutu kusema mtihani uletwe ataufanya.
Kama mchango wa mwalimu ni 30% hizo kelele za umuhimu wa mwalimu ni za nini?
Walimu wachache sana ndio mahiri kwenye madomo yao. Wengi vilaza ile mbaya.
Wengi mnstakiwa kutubu sana kwa kuwaharibia vijana wetu maisha.
Wadau nimefuatilia kwa muda mijadala ya sababu za kushuka kwa elimu yetu na nini kifanyike. Katika mijadala hii lipo kundi la upande wa waalimu, watunga sera, wachambuzi wa sera, wazazi, waalimu nk.
Kila kundi limejaribu kuonyesha mapungufu ya upande fulani. Wengi tumepitia shule na vyuoni na waalimu wetu tunawajua na wengine hata majina tumewapa kwa ufundishaji wao ama mzuri au mbaya.
Pendekezo langu ni kuwa kila NECTA wanapotoa paper zao za kidato cha 4 au 6 mwalimu wa somo husika afanye na darasa lake na usahihishwe na NECTA.
Nia ni kuona kiwango cha waalimu husika cha waalimu wa masomo hayo kama kweli wanauelewa wa kutosha na kama kweli wanafunzi wanafaulu kwa kufundishwa au kwa juhudi zao binafsi?
Na huo uwe sehemu ya hitaji kwa mwalimu kupandishwa cheo/ daraja.
Nawasilisha.
Yani hujalizka na mitihani yote ambayo mwalimu kaifanya!!! Kama ndo mapendekezo ya utafiti wako umefeli xana. Na usifikiri eti kuna mwalimu mbovu kama unavyofikiri la hasha.Wadau nimefuatilia kwa muda mijadala ya sababu za kushuka kwa elimu yetu na nini kifanyike. Katika mijadala hii lipo kundi la upande wa waalimu, watunga sera, wachambuzi wa sera, wazazi, waalimu nk.
Kila kundi limejaribu kuonyesha mapungufu ya upande fulani. Wengi tumepitia shule na vyuoni na waalimu wetu tunawajua na wengine hata majina tumewapa kwa ufundishaji wao ama mzuri au mbaya.
Pendekezo langu ni kuwa kila NECTA wanapotoa paper zao za kidato cha 4 au 6 mwalimu wa somo husika afanye na darasa lake na usahihishwe na NECTA.
Nia ni kuona kiwango cha waalimu husika cha waalimu wa masomo hayo kama kweli wanauelewa wa kutosha na kama kweli wanafunzi wanafaulu kwa kufundishwa au kwa juhudi zao binafsi?
Na huo uwe sehemu ya hitaji kwa mwalimu kupandishwa cheo/ daraja.
Nawasilisha.
wewe utafanya lini mtihani?Wadau nimefuatilia kwa muda mijadala ya sababu za kushuka kwa elimu yetu na nini kifanyike. Katika mijadala hii lipo kundi la upande wa waalimu, watunga sera, wachambuzi wa sera, wazazi, waalimu nk.
Kila kundi limejaribu kuonyesha mapungufu ya upande fulani. Wengi tumepitia shule na vyuoni na waalimu wetu tunawajua na wengine hata majina tumewapa kwa ufundishaji wao ama mzuri au mbaya.
Pendekezo langu ni kuwa kila NECTA wanapotoa paper zao za kidato cha 4 au 6 mwalimu wa somo husika afanye na darasa lake na usahihishwe na NECTA.
Nia ni kuona kiwango cha waalimu husika cha waalimu wa masomo hayo kama kweli wanauelewa wa kutosha na kama kweli wanafunzi wanafaulu kwa kufundishwa au kwa juhudi zao binafsi?
Na huo uwe sehemu ya hitaji kwa mwalimu kupandishwa cheo/ daraja.
Nawasilisha.
Kwa mawazo haya sidhani kama umepita chuoni maana unaonekana ni mbovu kuliko mwanafunzi wa darasa la IV.Hivi anayefundisha Mathematics form IV lazima awe amefundisha wanafunzi hao kuanzia form I had III? AU hukuona hilo udhaifu katika fikra zako.