PENDEKEZO: Waalimu nao wafanye NECTA za masomo yao

Unafanya kazi gani mkuu???
Wadau nimefuatilia kwa muda mijadala ya sababu za kushuka kwa elimu yetu na nini kifanyike. Katika mijadala hii lipo kundi la upande wa waalimu, watunga sera, wachambuzi wa sera, wazazi, waalimu nk.

Kila kundi limejaribu kuonyesha mapungufu ya upande fulani. Wengi tumepitia shule na vyuoni na waalimu wetu tunawajua na wengine hata majina tumewapa kwa ufundishaji wao ama mzuri au mbaya.

Pendekezo langu ni kuwa kila NECTA wanapotoa paper zao za kidato cha 4 au 6 mwalimu wa somo husika afanye na darasa lake na usahihishwe na NECTA.

Nia ni kuona kiwango cha waalimu husika cha waalimu wa masomo hayo kama kweli wanauelewa wa kutosha na kama kweli wanafunzi wanafaulu kwa kufundishwa au kwa juhudi zao binafsi?

Na huo uwe sehemu ya hitaji kwa mwalimu kupandishwa cheo/ daraja.

Nawasilisha.
Ni swali zuri embu jibu unafany kaz gan ww?
 
Kwani weye umesema kazi yako mpaka nikuambie ya kwangu?
Anza wewe !!
 
Kwa hiyo kila mwaka mwl afanye mtihani? Atakuwa awarded au...?wazo kuntu kabisa...
 
Kwa mawazo haya sidhani kama umepita chuoni maana unaonekana ni mbovu kuliko mwanafunzi wa darasa la IV.Hivi anayefundisha Mathematics form IV lazima awe amefundisha wanafunzi hao kuanzia form I had III? AU hukuona hilo udhaifu katika fikra zako.
Sasa huoni utamwadhibu mtu mtu ambae sio muhusika? Yeye kapokea mtoto toka form one huko je kwa kumfundisha form four itaweza kukupa matokeo halisi ya mtihani huo?
 
Hiyo gharama ya kugharimia mitihani ya walimu nchi nzima atalipa nani?
Halafu lengo la mitihani ile ni kupima walimu au wanafunzi?
 
Wadau nimefuatilhia muda mijadala ya sababu za kushuka kwa elimu yetu na nini kifanyike. Katika mijadala hii lipo kundi la upande wa waalimu, watunga sera, wachambuzi wa sera, wazazi, waalimu nk.

Kila kundi limejaribu kuonyesha mapungufu ya upande fulani. Wengi tumepitia shule na vyuoni na waalimu wetu tunawajua na wengine hata majina tumewapa kwa ufundishaji wao ama mzuri au mbaya.

Pendekezo langu ni kuwa kila NECTA wanapotoa paper zao za kidato cha 4 au 6 mwalimu wa somo husika afanye na darasa lake na usahihishwe na NECTA.

Nia ni kuona kiwango cha waalimu husika cha waalimu wa masomo hayo kama kweli wanauelewa wa kutosha na kama kweli wanafunzi wanafaulu kwa kufundishwa au kwa juhudi zao binafsi?

Na huo uwe sehemu ya hitaji kwa mwalimu kupandishwa cheo/ daraja.

Nawasilisha.
Tatizo kubwa ninalo liona kwako ni kutokujua ninani anaue sahihisha hiyo mitihani huko necta , huenda unadhani necta ni aina ya kifaa fulani ambacho kinafanya kazi na baraza la mitihan, unasahahu kwamba anaye tunga mtihani nimwalimu,anaye sahihisha ni mwalimu huyohuyo, anaye panga matokeo ni mwalimu huyohuyo,ila anaye tangaza matokeo ndio waziri au katibu wa baraza la mitihani ambalo ndio hiyo NECTA ,

Kwa post hiii umeonesha uwezo mdogo sana wa kufikiri kitu ambacho kimekufanya udharaulike sana na kuingizwa kwenye kundi lilelile baadh ya wanao toa ushauri kwenye maswala ya elimu tanzania ni watu wasio wasio ijua elimu ya tanzania na huenda hawana hata elimu kabisa.
 
Ni mwalimu mmoja tu amethubutu kusema mtihani uletwe ataufanya.
Kama mchango wa mwalimu ni 30% hizo kelele za umuhimu wa mwalimu ni za nini?
Walimu wachache sana ndio mahiri kwenye madomo yao. Wengi vilaza ile mbaya.
Wengi mnstakiwa kutubu sana kwa kuwaharibia vijana wetu maisha.
Chuki na dharau zako dhidi ya walimu wala haziita kusaidia kitu chochoe kwa sababu mwalimu ni msaada kwako hadi unaingia kaburini kwa hiyo unacho fanya wewe ni ujinga tu sina hakika kama wewe una kipimo kizuri zaidi na uwezo mzuri zaidi wa ufahamu kuliko serikali iliyo mpa dhamana mwalimu huyo kwa kuona ana vigezo vya kulitumikia taifa, maana fahamu kuwa ualimu hawapeani kama njugu, mtu kaingia darasani kasoma miaka mitatu au miwili kafanya mtihani kafuzu ndio katapa hicho cheo cha ualimu, mimi ni mwalimu na watoto wanafanya vyema katika somo langu na wengine wanafauru vizuri zaidi kuliko hata marks nilizo pata mimi katika somo hilohilo ninalo fundisha lakin wametoka mikononi mwangu. Nikutakie kila la heri.
 
Hi hoja ni yamtoto frm two bila shaka Leo ukimwambia mwalm afanye mtihni mwalmu
Utamlipa sh ngapi maana itakua ext tasks kwa upande weke........
 
Wadau nimefuatilia kwa muda mijadala ya sababu za kushuka kwa elimu yetu na nini kifanyike. Katika mijadala hii lipo kundi la upande wa waalimu, watunga sera, wachambuzi wa sera, wazazi, waalimu nk.

Kila kundi limejaribu kuonyesha mapungufu ya upande fulani. Wengi tumepitia shule na vyuoni na waalimu wetu tunawajua na wengine hata majina tumewapa kwa ufundishaji wao ama mzuri au mbaya.

Pendekezo langu ni kuwa kila NECTA wanapotoa paper zao za kidato cha 4 au 6 mwalimu wa somo husika afanye na darasa lake na usahihishwe na NECTA.

Nia ni kuona kiwango cha waalimu husika cha waalimu wa masomo hayo kama kweli wanauelewa wa kutosha na kama kweli wanafunzi wanafaulu kwa kufundishwa au kwa juhudi zao binafsi?

Na huo uwe sehemu ya hitaji kwa mwalimu kupandishwa cheo/ daraja.

Nawasilisha.

Akili yako mkuu ni fupi kama nukta, but kwa kukutaarifu tu ni kwamba NECTA wanayoifanya walimu, unayoifanya wewe inaingia labda mara tatu. Mfano, Mwalimu anayefanya ama mwenye Bachelor anafanya mtihani mgumu (UE) sawa na NECTA kwako kila baada ya miezi mitatu, yaani mwisho wa kila semester. Mwenye Diploma naye anafanya NECTA baada ya miaka yake miwili, je bado unawataka wafanye NECTA?

Jipange mkuu katika hoja yako, walimu tuko vizuri na si ninyi mlioharibiwa na Lukuvi.
 
Mitihani ya necta inatungwa na waalim, hivyo watafanya mitihani waliyoitunga wao
Hahahha mtoa maada ni pumb** kabisa
 
Wadau nimefuatilia kwa muda mijadala ya sababu za kushuka kwa elimu yetu na nini kifanyike. Katika mijadala hii lipo kundi la upande wa waalimu, watunga sera, wachambuzi wa sera, wazazi, waalimu nk.

Kila kundi limejaribu kuonyesha mapungufu ya upande fulani. Wengi tumepitia shule na vyuoni na waalimu wetu tunawajua na wengine hata majina tumewapa kwa ufundishaji wao ama mzuri au mbaya.

Pendekezo langu ni kuwa kila NECTA wanapotoa paper zao za kidato cha 4 au 6 mwalimu wa somo husika afanye na darasa lake na usahihishwe na NECTA.

Nia ni kuona kiwango cha waalimu husika cha waalimu wa masomo hayo kama kweli wanauelewa wa kutosha na kama kweli wanafunzi wanafaulu kwa kufundishwa au kwa juhudi zao binafsi?

Na huo uwe sehemu ya hitaji kwa mwalimu kupandishwa cheo/ daraja.

Nawasilisha.
Yani hujalizka na mitihani yote ambayo mwalimu kaifanya!!! Kama ndo mapendekezo ya utafiti wako umefeli xana. Na usifikiri eti kuna mwalimu mbovu kama unavyofikiri la hasha.
 
Wadau nimefuatilia kwa muda mijadala ya sababu za kushuka kwa elimu yetu na nini kifanyike. Katika mijadala hii lipo kundi la upande wa waalimu, watunga sera, wachambuzi wa sera, wazazi, waalimu nk.

Kila kundi limejaribu kuonyesha mapungufu ya upande fulani. Wengi tumepitia shule na vyuoni na waalimu wetu tunawajua na wengine hata majina tumewapa kwa ufundishaji wao ama mzuri au mbaya.

Pendekezo langu ni kuwa kila NECTA wanapotoa paper zao za kidato cha 4 au 6 mwalimu wa somo husika afanye na darasa lake na usahihishwe na NECTA.

Nia ni kuona kiwango cha waalimu husika cha waalimu wa masomo hayo kama kweli wanauelewa wa kutosha na kama kweli wanafunzi wanafaulu kwa kufundishwa au kwa juhudi zao binafsi?

Na huo uwe sehemu ya hitaji kwa mwalimu kupandishwa cheo/ daraja.

Nawasilisha.
wewe utafanya lini mtihani?
 
Kwa mawazo haya sidhani kama umepita chuoni maana unaonekana ni mbovu kuliko mwanafunzi wa darasa la IV.Hivi anayefundisha Mathematics form IV lazima awe amefundisha wanafunzi hao kuanzia form I had III? AU hukuona hilo udhaifu katika fikra zako.
 
Upo sawa mkuu hivi unafundisha iv maths, halafu meanafunzi hajui linear equation useme mwl ndo move???
 
Back
Top Bottom