Pendekezo: Itungwe sheria ya upimaji wa DNA kwa mtoto. Sheria iwe lazima pindi tu mtoto anapozaliwa

Kwa kweli wanawake wenye roho za kishetani wanatufanyia sana ushetani kwenye hili....dah!!😂😂😂

Hawa mashetani ambao ni wake za watu, au hawajaolewa wanakabidhiwa mimba na malaika gani?
Ujinga ujinga, upumbavu na ushetani upo kwa jinsia zote. Naunga mkono hoja DNA ifanyike lakini isiwe kwa masimango ya wanawake. Pia mambo ya mahusiano/ ndoa magumu sana, kuna vitu ukivifahamu ukweli wake utanyamaza kimya. Tuache kila mmoja apambane na ndoa yake, hakuna ndoa/mahusiano shirikishi.
 
Bado hajafahamu na hata sisi watu wake wa karibu sana Huwa tunajiuliza mbona huyu mtoto hata kumwangalia tu unajua kabisa jamaa alipigwa inakuwaje yeye hasanukii?
 
Kubambikiwa mtoto ni dhuruma kubwa......Bora DNA ipite kila ajue halali yake
 
Mkuu; unajuaje kama huyu unae mjibu sio mwanamke? Huoni kama ana conflict of interest hapa? Wanawake hawaitaki hi sheria hata kidogo cause wanajua kitakacho tokea
 
Hii wanawake ni chungu mno kwao. Ikipitishwa ndoa hazitadumu nyingi mno.

Kuna jamaa mtoto wa baba mdogo mke kazalishwa na ka msela tu na anamsomesha shule za ghalama sana daah Yani siku akijua ataua mtu
Nasi ishatuwia ngumu kumwambia asee
bora huyo. wa mjomba wangu watatu wote ngoma za nje. na zaidi mke wake oyaoya. anagawa kinoma. mi mwenyewe nilimtega kwa namba nyingine akajaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…