Pendekezo: Itungwe sheria ya upimaji wa DNA kwa mtoto. Sheria iwe lazima pindi tu mtoto anapozaliwa

Kwa kweli wanawake wenye roho za kishetani wanatufanyia sana ushetani kwenye hili....dah!!😂😂😂

Hawa mashetani ambao ni wake za watu, au hawajaolewa wanakabidhiwa mimba na malaika gani?
Ujinga ujinga, upumbavu na ushetani upo kwa jinsia zote. Naunga mkono hoja DNA ifanyike lakini isiwe kwa masimango ya wanawake. Pia mambo ya mahusiano/ ndoa magumu sana, kuna vitu ukivifahamu ukweli wake utanyamaza kimya. Tuache kila mmoja apambane na ndoa yake, hakuna ndoa/mahusiano shirikishi.
 
Basi wakati wanamfanyia huo ukatili wa kisaikolojia wawe making sana huyo mtoto wao asije akapewa chocolate na baba yake mlezi(social father) ambayo ndani yake imetiwa Pollonium 201 akaja kufa baada ya miezi tisa baadae.

Kuna wanaume baadhi tukipigwa na tukio zito kama Hilo huwa tunaona ni heri tukose wote, kwanzia wewe baba mzazi, mama mtu na Mimi mwenyewe.
Bado hajafahamu na hata sisi watu wake wa karibu sana Huwa tunajiuliza mbona huyu mtoto hata kumwangalia tu unajua kabisa jamaa alipigwa inakuwaje yeye hasanukii?
 
Hawa mashetani ambao ni wake za watu, hawajaolewa au hawajaolewa wanakabidhiwa mimba na malaika gani?
Ujinga ujinga, upumbavu na ushetani upo kwa jinsia zote. Naunga mkono hoja DNA ifanyike lakini isiwe kwa masimango ya wanawake. Pia mambo ya mahusiano/ ndoa magumu sana, kuna vitu ukivifahamu ukweli wake utanyamaza kimya. Tuache kila mmoja apambane na ndoa yake, hakuna ndoa/mahusiano shirikishi.
Kubambikiwa mtoto ni dhuruma kubwa......Bora DNA ipite kila ajue halali yake
 
Basi kwa hii comment yako unajiona una akili wakati wewe ndio kubwa jinga kabisa... Sidhani kama hata unajua madhara ya pertenity fraud....

Kuna familia Moja huko kusini baba aliwachinja wanae watatu na mama yao mara tu baada ya kubaini hao watoto wote watatu hakuna wa kwake hata mmoja, Sasa wewe unafikiri huyu mwanaume light kama angebaini tangu awali kwamba hao watoto sio wake ungefanya huo unyama???

Tatizo wabongo huwa mnatoa kauli nyepesi kwenye mambo sensitive nafikiri ni kutokana na ufahamu pamoja na akili ndogo ambazo watanzania wengi mko nazo.
Mkuu; unajuaje kama huyu unae mjibu sio mwanamke? Huoni kama ana conflict of interest hapa? Wanawake hawaitaki hi sheria hata kidogo cause wanajua kitakacho tokea
 
Hii wanawake ni chungu mno kwao. Ikipitishwa ndoa hazitadumu nyingi mno.

Kuna jamaa mtoto wa baba mdogo mke kazalishwa na ka msela tu na anamsomesha shule za ghalama sana daah Yani siku akijua ataua mtu
Nasi ishatuwia ngumu kumwambia asee
bora huyo. wa mjomba wangu watatu wote ngoma za nje. na zaidi mke wake oyaoya. anagawa kinoma. mi mwenyewe nilimtega kwa namba nyingine akajaa.
 
Back
Top Bottom