Pendekezo: Itungwe sheria ya upimaji wa DNA kwa mtoto. Sheria iwe lazima pindi tu mtoto anapozaliwa

KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
18,993
36,500
Habari wakuuu..,....

Hali ilipofikia sio kuzuri.......palipofikia tena sio kwa kuoneana aibu.......watu wanalia kwa kutoa milio wengine wanalia kwa vibration na wengine wagugumia ndani ndani......

Siku hizi kitanda kinazaa haramu kwa kuwa wanandoa wameamua kuwa wana haramu......

Kwa hali ilipofikia sio tena kufumbiana macho tuambiane ukweli wa mambo.........

Hii ni dhuruma kubwa inafanyika lakini watu wanaiona ni kawaida.......

Hili pendekezo Tu......

NB;
Mzee wa miaka 62 ajitoa uhai baada ya kugundua wanae watano aliowalea sio wa kwake......imetokea huko Kenya....
 
America nadhani kama hawajapitisha ndio wanapush hii. Ni baada ya matukio ya wanaume kupigwa kuzidi, mwanaume kakuza mtoto for 30+ years halaf inakuja someka si wake.

So ili kuondoa mkanganyiko kuna haja ya kuchunguza hili kuepuka kubambikiana watoto
 
Hii wazo lako mbona tayari huko Marekani Kuna baadhi ya States wameshalipitisha na watu wanapima DNA mara tu mtoto anapozaliwa hili ku-confirm paternity.

Kwa hapa kwetu haiwezekani kabisa kupitishwa na Tena kwa sababu za kipuuzi sana eti "hili kuepusha migogoro ndani ya familia" shenzy kabisa na matokeo yake wanawake hiyo advantage kuwabambikia watoto najisi waume zao.
 
Kwa kweli wanawake wenye roho za kishetani wanatufanyia sana ushetani kwenye hili....dah!!😂😂😂
 
Hii wazo lako mbona tayari huko Marekani Kuna baadhi ya States wameshalipitisha na watu wanapima DNA mara tu mtoto anapozaliwa hili ku-confirm paternity.

Kwa hapa kwetu haiwezekani kabisa kupitishwa na Tena kwa sababu za kipuuzi sana eti "hili kuepusha migogoro ndani ya familia" shenzy kabisa na matokeo yake wanawake hiyo advantage kuwabambikia watoto najisi waume zao.
Wamarekani wajinga tu hata ndoa zao za mikataba

Waafrika tunaamini kitanda hakizai haramu
Huo upumbavu ubakie huko huko marekani
 
Ujinga mtupu mtu kama humwamini.mia kwa mia ulimchukua wa nini ?
Eti mpime kila wakati mtoto akizaliwa ujinga mtupu
Basi kwa hii comment yako unajiona una akili wakati wewe ndio kubwa jinga kabisa... Sidhani kama hata unajua madhara ya pertenity fraud....

Kuna familia Moja huko kusini baba aliwachinja wanae watatu na mama yao mara tu baada ya kubaini hao watoto wote watatu hakuna wa kwake hata mmoja, Sasa wewe unafikiri huyu mwanaume light kama angebaini tangu awali kwamba hao watoto sio wake ungefanya huo unyama???

Tatizo wabongo huwa mnatoa kauli nyepesi kwenye mambo sensitive nafikiri ni kutokana na ufahamu pamoja na akili ndogo ambazo watanzania wengi mko nazo.
 
Ndugu tema mate chini ndugu yangu......
Kwa taarifa yako kwetu kwa upande wa kaka tuna watoto wawili wazungu.mapacha wakati sisi weusi tulikubali kama watoto wetu kuwa kitanda hakizai haramu

Tukasema hao watoto wanafanana na bibi mzaa bibi wa bibi wa bibi alikuwa mzungu tukataifisha .Tukawa tunakisubiri kitokee kidume koko kijitokeze kiseme hao ni watoto wake tukionyeshe cha mtema kuni.Tukasema hakuna cha DNA test wala nini ni watoto wetu wa ndani ya ndoa

Tunafurahi kwenye familia yetu tuna wazungu watoto wetu
 
Back
Top Bottom