Penda usipende wenye pesa pia wanagongewa wake zao kuliko maskini

Inaonesha wengi wenu ni masikini mmekuja hapa kupeana moyo, we jidangamye na story za mtaani....
Wapo ht me nshamega 3 ila fasta nawatema maana ukigunduliw lazma umegwe ww
 
Kautafiti yakinifu nilichofanya ni kwamba wenye pesa pia ndo wanaongozwa kwa kugongewa wake zao.

Ila sijajua nini hasa kinapelekea wanawake watoe nje ukiwa maskini utagongewa na mwenye nazo ukiwa tajiri utagongewa na matajiri wenzio au shamba boy wako.

Aisee wadau embu tuchambue hii kitu.
Pesa haigegedi wewe.......
 
Inaonesha wengi wenu ni masikini mmekuja hapa kupeana moyo, we jidangamye na story za mtaani....
mkuu kwani wewe hujawahi kugegeda demu/mke wa mtu aliekuzidi kipato?? Mimi sitembei na mke wa mtu awe tajiri au masikini nikijua kaolewa naacha.
 
Na hiyo ndio tofauti ya tajiri na maskini. Tajiri anawaza mipango ya maendeleo maskini anawaza jinsi ya kumpata mwanamke fulani.
Humkomoi bali unajimaliza !!!
 
mkuu kwani wewe hujawahi kugegeda demu/mke wa mtu aliekuzidi kipato?? Mimi sitembei na mke wa mtu awe tajiri au masikini nikijua kaolewa naacha.

Hapana sijawahi
Nikijua yuko na mtu tu siwezi mgusa, naheshimu ule msemo..... usitende usichopenda tendewa...
 
Wapo ht me nshamega 3 ila fasta nawatema maana ukigunduliw lazma umegwe ww
Inaonesha we ni house boy maana waonesha huna kazi zaidi ya kutafuta wake za watu... za mwizi 40 na ubaya hujui lini ni 40 yenyewe
 
Inaonesha we ni house boy maana waonesha huna kazi zaidi ya kutafuta wake za watu... za mwizi 40 na ubaya hujui lini ni 40 yenyewe
Na we itakuwa ni tajiri bila shaka
 
Unakuta mtu ata kama ni mke wake Ana mgegeda kama yupo na mgonjwa ndani we mto.....mbe mkeo mpaka kesho aamke Ana umwa uone kama ata toka nnje we utaendelea kugongewa mpaka unakufa uku ukiamini kibao chako ki1 umemaliza kazi
 
Tena wake zao ndio wanahonga masela kuwasugua coz waume zao bia na vitamuvitamu vishawachukua kitaaaambo no power no bolo kudinda kitu mkufu hausimiki hausimami......
 
Munatupa pressure bure! !!sasa tutawafumua marinda yenu mchana kweupe. ..sio mke wangu tu yaani hata yule niliye zaa naye njee ya ndoa nikijua unapitia nakushona tu kweeupe
 
Munatupa pressure bure! !!sasa tutawafumua marinda yenu mchana kweupe. ..sio mke wangu tu yaani hata yule niliye zaa naye njee ya ndoa nikijua unapitia nakushona tu kweeupe
Hata ukifanya hvyo haitafuta ukweli kuwa umegongewa......
 
Back
Top Bottom