Mmmh inategemea na mtu... mie kwangu ebay na amazon ni bora kuliko aliexpress. Nadhani pia inategemea na aina ya bidhaa unazohitaji. Ila nimeona pia kuna mtu amesema aliexpress ni bora zaidi.
Kuhusu box unaweza kupata posta karibu na unakoishi... mizigo ikifika headoffice huwa inaletwa kwenye box lako unless wakwambie ukafate kule. So jaribu karibu na home ukikosa basi nenda makao makuu nadhani watakueleza pa kufungua.
Gharama wala sio kubwa... mie nalipia sio zaidi ya elfu 15 kwa mwaka ya private. Sasa cjui kma gharama ziko sawa kote