Paypal inafanyaje kazi aliexpress na ebay?

Mmmh inategemea na mtu... mie kwangu ebay na amazon ni bora kuliko aliexpress. Nadhani pia inategemea na aina ya bidhaa unazohitaji. Ila nimeona pia kuna mtu amesema aliexpress ni bora zaidi.
Kuhusu box unaweza kupata posta karibu na unakoishi... mizigo ikifika headoffice huwa inaletwa kwenye box lako unless wakwambie ukafate kule. So jaribu karibu na home ukikosa basi nenda makao makuu nadhani watakueleza pa kufungua.
Gharama wala sio kubwa... mie nalipia sio zaidi ya elfu 15 kwa mwaka ya private. Sasa cjui kma gharama ziko sawa kote
Kama hutojali ni pm namba yako
 
Pitieni hii article ya jamaa yetu mmoja, aliamua kuandika uzoefu wake,ni msaada sana na inaweza kusaidia baadhi ya maswali pia kuongezea mawazo mapya.
Wakuu baada ya kupitia article ya mwenzetu nimetamani kuendelea zaidi kujifunza ila kwa sasa naona mawasiliano yake kama alivyoainisha kwenye article yake hayapatikani. Kama kuna aliyefanikiwa kuendelea nae naomba anisaidie ni muhimu kweli.
 
Aliexpress huwa hawatumii paypal... unalipa kwa debit au credit card yako... so lazma uweke info wanazotaka.. then baadae wanakuletea bill yako kwenye email.... ebay unatumia paypal kama kawaida.. nao pia watakutumia kwenye email bill yako.. alipay ni kama paypal kwaajili ya aliexpress kama ckosei. Kabla hujanunua chochote hakikisha umekua registered kama member nadhani itakua rahisi kununua vitu... mi huwa natumia zote na mizigo inakuja vizuri tu kwa posta au dhl
Samahani ningependa kujua zaidi hiyo kitu mimi nataka kuagiza lakini sina ufahamu wowote ule wapi nianze
 
Back
Top Bottom