Bossprota
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 336
- 373
VP naeza toa pesa kwenye ATM ya CRDB au NMB au kwenye ATM zabongo bongoMbona ni rahisi mkuu! Nenda kwa Payoneer account yako Kui activate tena Card yako!
Inapogoma wanakuletea message gani?
VP naeza toa pesa kwenye ATM ya CRDB au NMB au kwenye ATM zabongo bongoMbona ni rahisi mkuu! Nenda kwa Payoneer account yako Kui activate tena Card yako!
Inapogoma wanakuletea message gani?
Karibu wakati mwingine.
Tembelea website yao ya payoneer ila hakikisha akaunti yako ya bank iwe imefunguliwa internet banking iliuweze kutumiwa pesa toka payoneer kwa Swift code pia hakikisha una kitu kimoja kati ya passport, leseni au national id bila hivyo watakusumbua Sana.Unafanyaje uwezekujiunga? Nisaidieni namna ya kujiunga na payoneer
Haiwezekani ukajiunga na payoneer huku Card yako ikiwa sio mastercad then muda ambao unasubiri watume card ya payoneer ndio unafanya utaratibu wa kuwa mastercad n activated ??tembelea website yao ya payoneer ila hakikisha akaunti yako ya bank iwe imefunguliwa internet banking iliuweze kutumiwa pesa toka payoneer kwa Swift code pia hakikisha una kitu kimoja kati ya passport, leseni au national id bila hivyo watakusumbua Sana.
Ni akaunti namba ya benki ndiyo inayohitajika sio aina ya kadi Wala namba ya kadiHaiwezekani ukajiunga na payoneer huku Card yako ikiwa sio mastercad then muda ambao unasubiri watume card ya payoneer ndio unafanya utaratibu wa kuwa mastercad n activated ??
Nimejibu uliposema ifunguliwe internet banking.ni akaunti namba ya benki ndiyo inayohitajika sio aina ya kadi Wala namba ya kadi
Mkuu hii swift/ bic naijaza vipi?Nina card hii lakini ime expired nifanyaje ili niweze kuitumia tena. Hasa sasa ninahitaji hii card.
Asante SanaTembelea website yao ya payoneer ila hakikisha akaunti yako ya bank iwe imefunguliwa internet banking iliuweze kutumiwa pesa toka payoneer kwa Swift code pia hakikisha una kitu kimoja kati ya passport, leseni au national id bila hivyo watakusumbua Sana.
Ingia kwenye account yako omba wakutumie nyingine as simple as thatNina card hii lakini ime expired nifanyaje ili niweze kuitumia tena. Hasa sasa ninahitaji hii card.
Kuhusu 'MONEY WITHDRAW' ... YES mkuu Transparen, utaweza kutoa pesa from Payoneer to Local bank.
Basically, Ukishajisajiri (sign up) Payoneer, watakupatia vitu viwili:
1. Payoneer Account (ambayo ni online/mtandaoni), na
2. Payoneer Master Card. (watakutumia Card yenyewe kabisa real kwa njia ya Posta).
Sasa umefanya mambo yako mtandaoni... mfano umeuza kitu fulani mtandaoni na mteja akakulipa kwa Payoneer, ama rafiki yako yupo nje ya nchi akakutumia pesa kwa Payoneer, n.k , that means pesa itaingia kwenye online Payoneer Account yako. Kwamba unapo-sign in or ku-log in utaona kiasi cha pesa kilichomo humo (balance/salio) mfano USD 200 ama GBP 150 ama EURO 125 (it depends alikutumia kwa currency ipi).
Kisha, utaweza kuitoa (withdraw) humo hiyo pesa kwa namna/njia mbili :
- Kuichomolea kwenye ATM yoyote inayosupport Master Card, popote pale duniani, kwa kutumia hiyo Payoneer Master Card. Card hii itachomoa currency ya nchi husika, mfano ukitolea kwenye ATMs za hapa Tanzania itatoa Tsh, ama ukisafiri ukaenda kutolea kwenye ATMs za Kenya itatoa Ksh, n,k popote pale duniani. Kuhusu njia hii, mkuu Powder ameshaielezea vizuri sana mara nyingi tu.
Sasa basi, ni jinsi gani ya kuhamisha pesa from Payoneer Account to your/any local bank account ?
- Kuihamisha pesa from Payoneer Account to any local bank account. Kwamba utatoa pesa kutoka kwenye Payoneer Account na kuiingiza kwenye Local bank account yako. Upo huru kuiingiza kwenye ANY local bank account.
Imeelekezwa vizuri sana step by step kwenye hii link ya Payoneer (maelezo, na video pia ipo): [VIDEO] How to withdraw funds from Payoneer to your bank account - The Payoneer Blog
- Log-in / Sign-in to your Payoneer Account,
- From the menu, go to Withdraw >> To Bank Account,
- Select the currency balance you want to withdraw funds from, (mfano kama Payoneer Account yako ina more than one currencies).
- Select the bank account you want to send funds to / Enter the bank account number you want to send funds to,
- Enter the amount you want to withdraw,
- Click REVIEW. The withdrawal summary will be displayed,
- Review the details of your withdrawal and make sure everything is correct. If you need to change anything, click Edit and make the necessary changes,
- After you’re sure that all is correct, mark the checkbox I approve this transaction and click Withdraw .
- That’s it! You will receive an email confirmation after completing the withdrawal and your funds will be available in your bank account within 3-5 business days.
-Kaveli-
Sipati verification code kwenye namba yangu, please naomba msaada niwaze kufungua account ya PayoneerHabari Wakuu!
Binafsi ni mtu ambaye niliathiliwa na kutokubaliwa kwa PayPal Tanzania, kwa wale wenzangu na Mimi ambao tumekua tukiuza kazi zetu online, watakubaliana nami kuwa Clients wengi wanajisikia salama wakilipa kwa PayPal, Clients wengi hawataki kusikia Western Union, Moneygrams na hata Bank Transfer.
Ilipelekea wengi kupata shida namna kupokea malipo Yao, hapa jf Kuna thread kadhaa za members wakitoa malalamiko Yao.
Kwa wale wote waliokua wanakwazwa na kutokuwepo PayPal, sasa wanaweza kutumia Payoneer Master Card, uta apply Card yako toka America na ndani ya week 2 au 3 utatumiwa Master card ya Payoneer ambayo itakuwezesha Ku withdraw pesa yako kwenye ATM yoyote inayo support Master card Worldwide, pia unaweza Kuhamisha pesa yako toka Payoneer kwenda kwenye account yako ya bank!
Binafsi Mimi ndo naitumia, mpaka sasa nimesha withdraw pesa zaidi ya Mara 3.
Nakuwekea link hapo chini, huduma zote ikiwemo Card ni bure.
Una swali au chochote Karibu.
https://share.payoneer.com/nav/1IYl...XyTobBfQIlfYwJKEZGoAAd7S9xVGy2c5HvirbrcC8syA2
Payoneer haiwezi kuwa mbadala wa paypal kwasababu zifuatazo.Habari Wakuu!