Pauline Gekul: Fainali CRDB Confideration Cup kuhamishwa imetusikitisha

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
2,170
5,528
Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Philipo Gekul akichangia makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Utamaduni ,Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/25 ameiomba Wizara hiyo kupeleka mechi kubwa Mkoani Manyara baada ya kuiondoa mechi ya Fainali ya Shirikisho kati ya Yanga na Azam FC.

Gekul amedai kuondolewa kwa mechi hiyo Mkoani hapo kumewakatisha tamaa Viongozi ambao walitenga bajeti kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo huku Wafanyabiashara wakiwa wanafanya maandalizi ya mapokezi ya mechi hiyo.

“Jana tumaini la Wanamanyara lilifia baada ya kusikia fainali hizi zimepelekwa sehemu nyingine naomba nieleweke wazi nimejifunza Watanzania wengi wetu tunaweza tukawa tunatengeneza maneno ambayo hata Mtu anakuwa hajasema sina tatizo mchezo huo kupelekwa popote tatizo langu ni moja Wanamanyara walivyojiandaa wakaenda re-allocate bajeti tukachukua fedha za Halmashauri,kwa Wadau tukawekeza Watu wamekopa Watu wameweka malikauli bidhaa tumaini lao limefifia Mimi naelewa TFF walikuwa na nia nzuri kabisa mpaka jana timu yetu ya Mainjinia walikuwa uwanjani hali sio nzuri”
 
Tanzania Ndiyo ilivyo biashara nyingi zinakufa kutokana na maamuzi ya hovyo ya waliopewa dhamana, ( uncertainty in business)
 
Alivyomshindilia mtu chupa makalioni hakusikitishwa ila hili limemsikitisha!
Jitu kama hili kama uchawi upo kweli dawa yake ni kuliroga tu liwe linagongwa na wahuni na lilale barabarani halina faida kabisa.
 
Back
Top Bottom