Paul Makonda (RC), Naomba usikilize Kilio Changu juu ya Wanawake wa Dar es Salaam, Please

Mitaa ya Dar es salaam shida sana
cbbe60a572dce196b880f88fc610e34b.jpg
 
Utakuwa mgeni na hili jiji wewe si bure,wameshindwa wazazi wao na viongozi wa dini ataweza makonda?
 
Kabla hayo mavazi hayajaja, mababu na mabibi zetu walikuwa wanaishije. Tatizo mnamapepo ya ngono
 
Ila mi sijui hao wakoje jamani, mwenzenu naogopa sana kuvaa nguo fupi na kutoka kwenda kitaa. Ht nikivaa basi nakuwa niko ndani kwangu tu. Sijui ni ushamba wa usukumani, ila km ni fashion acha tu inipite.
 
unaogopa kuvaa nguo fupi wakati wewe sio bikira na haujaolewa, heshima yako iko wapi sasa, una tofauti gani na hao wanaovaa nguo fupi?
 
Ugeni wa mtu hautoi nafasi Ya KuAthorise Upuuzi .
Sijasema hivyo kukudhihaki ama kukukebehi,nime suggest kuwa waweza kuwa mgeni sababu ungalikuwa mwenyeji ungefahamu kuwa jitihada za kuwabana wanawake kuvaa mavazi ya stara zimeshafanyika sana,mpaka kufikia wengine kuchaniwa viguo vyao hadharani lakini bado haikusaidia.Kwa bahati mbaya tanzania ni nchi huru na hakuna kipengele cha sheria kinachomlazimisha mwanamke au mwanaume kuvaa kiheshima.Na daslama ni mji unaokwenda kwa utandawazi.so unless zitatungwa sheria za kulazimisha aina flani ya uvaaji,huyo makonda hawezi fanya lolote kubadilisha hali iliyopo sasa
 
Makonda anapotaka kuwashikisha adabu watu wanaokiuka maadili yetu iwe kazini au mtaani kwetu ,wengine mnaanza kumlaumu kuwa sijui anakiuka HAKI ZA BINADAMU ili hali wafanyakazi kama wale wa ardhi Kinondoni ndio wakiukaji wakuu wa haki za binadamu kwa kuwatesa wanadamu wenzao kwa tamaa zao za rushwa!!!
Makonda sisi wengine tunafurahishwa sana na utendaji wako tafadhali njoo huku JANGWANI BEACH kuna matajiri wakishirikiana na maafisa ardhi wa Kinondoni wametufungia barabara mtaani mvua zikinyesha tunateseka sana!! Tafadhali siku utakapokuja tupe taarifa ili tujiandae kukupa kero zetu.
 
haya mkuu, wewe mwenye akili kubwa ndo sifuri kiasi hicho? bure kabisa.
Natamani Jamii forum isingekua na watoto. Ni basi Utaratibu wa kujiinga Huruhusu Kila Mwenye Uelewa kidogo Kujiunga .
Utakuwa sio mwenyeji wa Arusha au mtu ambaye ameisikia tu Arusha.Mama yeyo hawavai rubega. Rubega ni vazi linalovaliwa na wanaume.
 
Natamani Jamii forum isingekua na watoto. Ni basi Utaratibu wa kujiinga Huruhusu Kila Mwenye Uelewa kidogo Kujiunga .
hapo umesema kweli. watoto kama wewe ungefutiliwa mbali kabisa usionekane humu jf. halafu una hasira sana bwamdogo, umeshakula kwanza?
 
Naona jinsi gani elimu ya Tanzania ambavyo haijawakomboa wengi katika wananchi wake.
Kuna haja kubwa ya watu kurudi darasani.
Mleta uzi mungu azidi kukubariki.
Kwa upande wang naunga mkono ulilolisema.
Pamoja na kua kuna ambao nyoyo zao nimezoea machafu hivyo inapokuja hali ya kutaka kusafisha lazima wachukuie.

Sijajua Tanzania ina idadi kiasi gani ya wapagani
Ila najua wengi wetu ni watu wenye dini
Ikiwa shule hatujasoma ustarabu basi hata katika taasisi za dini hatukufundishwa?
 
Kabla hayo mavazi hayajaja, mababu na mabibi zetu walikuwa wanaishije. Tatizo mnamapepo ya ngono
Tofautisha kipindi watu walipokua wajinga na sasa walivyokua na elimu.
Pamoja na hilo mazingira yaliwafanya wasijue namna nyingine ya kujihifadhi na ndio maaana yalipokua mavazi ya kulinda vizur na kuhifadhi miili yao hawakubaki huko unapopasema(ikiwa imethibiti)
Mamb yasiohitaj akili nyingi pia mtu hawez kufikir
Ooo elimu ya Tanzania kwanin huwakomboi wananchi wako
 
Rudi maporini ulikotoka mshamba mkubwa wewe..
Tunazungumza about Civilization . JAMII ILIYOSTAARABIKI.
Sasa ukitaka.Kueleta Habari za mababu Hapo Utahitaji Watu watumbee Uchi..

Back
Top Bottom