Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,835
- 6,301
Siku zote nyota njema hung'aa tu hata kiza kikiwa kinene. Ni ukweli usiopingika kwamba kuna watanzania wengi wanakukubali sana comred Paul. Japo kuna machache yakuzingatia ili ufike mbali zaidi.
Jitahidi kuwa mnyenyekevu hata pale unapotoa maagizo kwa walio chini yako. Hii itakufanya ukubalike zaidi na kila kundi rika.
Jenga mazoea ya kujifunza zaidi kwa waliokutangulia hata kama unawazidi weredi na marifa.
Kabla ya kutoa maagizo hakikisha una wasiliana na watendaji husika ili kuondoa utata kwenye utekelezaji wa maagizo uliyoyatoa.
Ukisikiliza ushauri mzuri wa wanaokukubali na kukuunga mkono, hakika utafanikiwa zaidi na zaidi. Piga kazi baba wa upendo.