Hivi walimu bado wanasafiri bure
Du! bila shaka hata vitambulisho watakuwa wameshatupa jalalani
Hivi walimu bado wanasafiri bure
Mchapa kazi huwa mkimya na huwezi kuwa muongeaji mno na hapohapo kuwa mtendaji hodari. Kumbuka enzi ya baba wa taifa.Ushauri au unamkatisha tamaa?linganisha kasi ya makonda na Rc yoyote unaemuona wewe kuwa ni mchapa kazi halafu tuletee
Makonda piga kazi. Piga kazi. Sio lazima kila mtu akubali, piga kazi.
Kinachotusumbua ni uchama hata MTU akishauri jambo zuri anaonwa ni UKAWA akishauri jambo baya sijui anaonwa ni NANI mda mwingine WEKA CHAMA CCM, UKAWA pembeni halafu jadili hoja
Kama aliavoanzishwa Humphrey Polepole!Huyu jamaa alitakiwa kuanzia ukuu wa wilaya ya kakonko.
Unamuweka kwenye jiji ambalo ni icon ya Tanzania.
wote hapa tunajua ww ni mke wake, lakini mtetee taratibu bila jazba.
Yaan umekiri kuwa unamtetea Mumeo sio ?kabisa mkuu, umepatia sana, kwa sababu situmii jina kamili, angalia usije kuwa unabishana na baba yako,
mm yako ana kovu kwenye paja la kulia aliungua na moto akiwa mtoto...ha ha ha
lile haliwezi kupona, japo kajitahidi sana
ulilivuka wakati unatoka
Mkuuwote hapa tunajua ww ni mke wake, lakini mtetee taratibu bila jazba.
Yaan umekiri kuwa unamtetea Mumeo sio ?
mtafute MTU anaitwa Mike Sonko.........sio unakurupuka tu
Kinachotusumbua ni uchama hata MTU akishauri jambo zuri anaonwa ni UKAWA akishauri jambo baya sijui anaonwa ni NANI mda mwingine WEKA CHAMA CCM, UKAWA pembeni halafu jadili hoja
Nadhani hata mnamo karne ya 5 Himaya ya Roma ilianguka na sabab kubwa aliyo itoa msomi mmoja anaitwa St. Thomas Acquinas ni Punishment from God ! Sishangai na CCM kuanguanguka na kusahaulika kabxa mda syo mref. Hata Mungu anaona walivoingia madarakan ni kwa staili gani halafu wanasema et Tuwaombee, ooh kwa Mungu yupi uyo jaman Tuwaombee watu kama hawa walioishiwa sera???????
There are many strategies to sweep away this useless government. Maana yang ni kwamba haya maagizo yanayotolewa then utekelezaji wake ni invisible inakuwaj kama syo punishment for God???????mmh
JF imevamiwa
muda si mrefu uchaguzi umeisha juzi tu, hizi dua za kukua hizi
wewe lazima ni ka njuni au kakifaranga
waza weka strategy za kuiondoa CCM, they are bad people....lakini sio kwa wishful thinking kama zako
kabisa mkuu, umepatia sana, kwa sababu situmii jina kamili, angalia usije kuwa unabishana na baba yako,
mm yako ana kovu kwenye paja la kulia aliungua na moto akiwa mtoto...ha ha ha
lile haliwezi kupona, japo kajitahidi sana
ulilivuka wakati unatoka
No Bi Mkubwa,Nimeukiza kuwa umekiri kuwa unautetea ubavu uliotokea sio ?yaani hapo kilichokushtua ni nini mkuu?
unaweza kuzuia mdomo usitamke? au akili isiwaze?
kama aliwaza akiwa na akili timamu unataka umbishie ili iweje?
au akiwazacho mtu ndio kinakuwa upande wa pili?? acheni presha za kitoto
kwa hiyo wewe unaona alivyosema hivyo ndio nini kimebadilika? amekufurahisha?
ha ha ha
There are many strategies to sweep away this useless government. Maana yang ni kwamba haya maagizo yanayotolewa then utekelezaji wake ni invisible inakuwaj kama syo punishment for God???????
No Bi Mkubwa,Nimeukiza kuwa umekiri kuwa unautetea ubavu uliotokea sio ?
Huu mchezo hauitaj hasira Mama