Paul Makonda, akataliwe kua Rais wa Nchi ya Tanzania !!Nchi itaendeshwa kidikteta na vilio vitakua vingi

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
26,416
80,693
Lile like Kundi ambalo linawapitisha Msoto akina Lissu na Heche.

Kundi lilelile ambalo lilikubali Samia awe Rais Kwa makubaliano naye.

Kundi lilelile ambalo lilimuacha Samia afanye anavyopenda huku likiendelea kumkusanyia taarifa za wanaojipendekeza Kwa Samia .

Kundi lilelile ambalo baada ya kumpa Samia Taarifa za wabaya wake Ndani ya CCM ,Samia akaamua kuwala Vichwa ( Makamba, Nape, Kinana ). Kundi hilohilo lilomuwekea Wassira kua Makamo wa chama/Dola.

Kundi hilohilo lilomlazimisha Samia kugombea mara nyingine.

Ndio kundi hilohilo Lilompa Mashariti ya Mwaka 2030 ,hasiusike kabisa kumteua Mgombea Rais .

Kundi Hilo ndio LINATAKA KUMPA MAKONDA URAIS , kwanini MAKONDA?.

Aina ya Maisha ya Makonda, na Tuhuma zote alizotuhumiwa nazo wakati wa JPM, ni kundi hili hili liloendelea kumuwekea kifua kwakua ni wamoja .

Kundi linataka wapate MTU wa kufanana nao ili wawe na Matendo sawiaaa.

Mshawahi jiuliza ,kwann Rais Samia anaagiza kufuta Kwa Kesi ya Mbowe, na Kingai anapandishwa na kua DPP??.

Kwa namna Kingai alivyokua anaburuzwa na Wakili Kibatala, Mnadhan Kingai ni wa kufaa kua DCI?.

KUNDI lilelile ambalo mkono wake ulogusa Maisha ya Lissu, Ukagusa Clouds TV, Ukagusa Mbowe, Ukamfungulia Mbowe kesi za ugaidi, Ndio kundi hilohilo ambalo sahizi limemkamata LISSU, Heche, ndio kundi Hilo Hilo.

KUNDI LINATAKA KUHAKIKISHA PAUL MAKONDA NI RAIS

Angalieni wanavyompelekea Matukio makubwa makubwa ya kimataifa, Angalieni anavyotetewa .

WATANZANIA SIKU MKIONA MAKONDA KAWA RAIS , NCHI ITAKUA ZAIDI YA KOREA KASIKAZIN.
 
Kuna vita kubwa ya chini kati Makonda na VP mtarajiwa....2030 watauana hapo....RiP Ippy Malecela....vita UVCCM tu sasa Urais takuwaje? Muda taongea..........
 
Lile like Kundi ambalo linawapitisha Msoto akina Lissu na Heche.

Kundi lilelile ambalo lilikubali Samia awe Rais Kwa makubaliano naye.

Kundi lilelile ambalo lilimuacha Samia afanye anavyopenda huku likiendelea kumkusanyia taarifa za wanaojipendekeza Kwa Samia .

Kundi lilelile ambalo baada ya kumpa Samia Taarifa za wabaya wake Ndani ya CCM ,Samia akaamua kuwala Vichwa ( Makamba, Nape, Kinana ). Kundi hilohilo lilomuwekea Wassira kua Makamo wa chama/Dola.

Kundi hilohilo lilomlazimisha Samia kugombea mara nyingine.

Ndio kundi hilohilo Lilompa Mashariti ya Mwaka 2030 ,hasiusike kabisa kumteua Mgombea Rais .

Kundi Hilo ndio LINATAKA KUMPA MAKONDA URAIS , kwanini MAKONDA?.

Aina ya Maisha ya Makonda, na Tuhuma zote alizotuhumiwa nazo wakati wa JPM, ni kundi hili hili liloendelea kumuwekea kifua kwakua ni wamoja .

Kundi linataka wapate MTU wa kufanana nao ili wawe na Matendo sawiaaa.

Mshawahi jiuliza ,kwann Rais Samia anaagiza kufuta Kwa Kesi ya Mbowe, na Kingai anapandishwa na kua DPP??.

Kwa namna Kingai alivyokua anaburuzwa na Wakili Kibatala, Mnadhan Kingai ni wa kufaa kua DPP?.

KUNDI lilelile ambalo mkono wake ulogusa Maisha ya Lissu, Ukagusa Clouds TV, Ukagusa Mbowe, Ukamfungulia Mbowe kesi za ugaidi, Ndio kundi hilohilo ambalo sahizi limemkamata LISSU, Heche, ndio kundi Hilo Hilo.

KUNDI LINATAKA KUHAKIKISHA PAUL MAKONDA NI RAIS

Angalieni wanavyompelekea Matukio makubwa makubwa ya kimataifa, Angalieni anavyotetewa .

WATANZANIA SIKU MKIONA MAKONDA KAWA RAIS , NCHI ITAKUA ZAIDI YA KOREA KASIKAZIN.
DPP AU DCI ? ...Kingai DCI bogus of all time tangu Uhuru........
 
Huyu chawa Hawaiian hata kuongoza kundi la inzi
 
Back
Top Bottom