proskaeur
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 1,571
- 4,925
Asante sana mkuu kwa maelezo mazuri,, vip kuhusu aina ya mbegu kama alivyochangia mheshimiwa mmoja hapo juu kwamba , rangi nyeupe ni nzuri kulingana na soko, kwa upande wako unasemeaj kuhusu hilo,mkuu kwa hawa bata wa kienyeji huwa hawana shida wao wanazaliana sana cha muhimu matunzo tu tafuta dume zuri na tetea hapo hakikisha unanunua mbegu kutoka sehemu tofauti ili usifuge wa ukoo mmoja,andaa sehemu nzuri ya kuwaweka na chakula tafuta pumba ya mahindi unawawekea kwenye chombo na pembeni unawawekea maji mengi ya kunywa wao ni maji tu halafu ili wapate vitamini kila siku iwe unawatupia mboga za majani na mabaki ya vyakula mbona utafurahi sana kuhusu dawa mimi huwa siwapi dawa yoyote wao hawana shida
Pia katika ufugaji huu ninaoenda kuuanza , unaweza kukadiria idadi ya chini ya kuanza nayo isipungue kiasi gani ili lengo la kufuga kibiashara liweze kutimia
Nashukuru sana kwa ushauri…!!