johari Joh
Member
- Apr 16, 2025
- 50
- 71
Jumla ni 330,000.Sato kg 25 gharama zote hadi Dar bei gani?
Kuna tofauti gani nikinunulia hapa Dar?Jumla ni 330,000.
Yes samaki wa baharini ana taste tofauti .kachangamka zaidi mdomoniMaisha ni very strange, mimi nipo kanda ya ziwa,lakini nahangaika kupata samaki na sea food. Hakuna kitu natamani kuweka mdomoni mwangu kama Jodari, Kibua, changu, preza, ngisi nk. Hawa Sato na Sangara ni wazuri nakula, lakini samaki wa bahari ni kitu kingine
Kunatofauti kubwa sana bro kuagiza kwangu na kununua hapo dar,Kuna tofauti gani nikinunulia hapa Dar?
Siwezi kukutumia hata dagaa moja bila kulipa pesa yangu yote kwasabu hakuna nfumo huu wabiashara unaotaka kuuleta,kwamba nitumie watu mizigo ningoje waje kunitumia pesa!Kuna mwingine alishakuja kujitangaza humu kama wewe au sijui ndio wewe, ni mwanamke nilimpigia nikamtumia pesa ila hakuwa muaminifu. Nilinunua dagaa kama kg 100 au zaidi sikumbuki vizuri ila zilizofika Dar hazikufika hata kg 30
halafu zilikuwa mbaya sio nzuri kwa biashara, mzigo ulipofika nikampigia kumwambia ukweli akawa hapokei simu zangu au anakata.. nikapata hasara na mimi nilinunua kwa ajili ya biashara
Tusiwaamini sana watu wa mitandaoni labda kama atakutumia mzigo wako ufike kwanza uukague ndio umtumie pesa, ukituma pesa kabla yatakukuta yaliyonikuta mimi
Ndoo kubwa 15,000 bila usafiri,Nahitaji Uduvi
Sawa mkuu, naomba picha ya Uduvi unaouzagaNdoo kubwa 15,000 bila usafiri,
- Ukitumia Truck 10.000 siku tatu
- Ukitumia basi 20,000 siku moja.
- Ukitumia usafiri wa ndege 40,000 masaa 3 mzigo utakuwa Dar.
Mzee wa 'fungua macho'!Kuna mwingine alishakuja kujitangaza humu kama wewe au sijui ndio wewe, ni mwanamke nilimpigia nikamtumia pesa ila hakuwa muaminifu. Nilinunua dagaa kama kg 100 au zaidi sikumbuki vizuri ila zilizofika Dar hazikufika hata kg 30
halafu zilikuwa mbaya sio nzuri kwa biashara, mzigo ulipofika nikampigia kumwambia ukweli akawa hapokei simu zangu au anakata.. nikapata hasara na mimi nilinunua kwa ajili ya biashara
Tusiwaamini sana watu wa mitandaoni labda kama atakutumia mzigo wako ufike kwanza uukague ndio umtumie pesa, ukituma pesa kabla yatakukuta yaliyonikuta mimi
Mbona wewe unanataka ulipwe pesa yote bila kutuma mzigo? Mbona imekaa upande mmoja hiiSiwezi kukutumia hata dagaa moja bila kulipa pesa yangu yote kwasabu hakuna nfumo huu wabiashara unaotaka kuuleta,kwamba nitumie watu mizigo ningoje waje kunitumia pesa!
Kama umekutana na mtu tapeli ni yule sio kila mtu ni tapeli.
Pole sana mkuu. Natamani sana nikusaidie kwenye hili swala.Kuna mwingine alishakuja kujitangaza humu kama wewe au sijui ndio wewe, ni mwanamke nilimpigia nikamtumia pesa ila hakuwa muaminifu. Nilinunua dagaa kama kg 100 au zaidi sikumbuki vizuri ila zilizofika Dar hazikufika hata kg 30
halafu zilikuwa mbaya sio nzuri kwa biashara, mzigo ulipofika nikampigia kumwambia ukweli akawa hapokei simu zangu au anakata.. nikapata hasara na mimi nilinunua kwa ajili ya biashara
Tusiwaamini sana watu wa mitandaoni labda kama atakutumia mzigo wako ufike kwanza uukague ndio umtumie pesa, ukituma pesa kabla yatakukuta yaliyonikuta mimi
Hii ni usafiri tu, tofauti na bei ya kununulia?Ndoo kubwa 15,000 bila usafiri,
- Ukitumia Truck 10.000 siku tatu
- Ukitumia basi 20,000 siku moja.
- Ukitumia usafiri wa ndege 40,000 masaa 3 mzigo utakuwa Dar.
Kama wewe ni Byesige wa Uganda mwaloni kabisa na Ziwa letu pendwa la Victoria ninakuwa na wasiwasi na hicho unachokizungumzia. Lakini kama ni Byesige wa kuchonga (Mrs) na hasa yule toka pwani ya Bahari ya Hindi, basi itakuwa umeongea ukweli. Ladha ya samaki hutegemea pia na uzoefu wa kuwala hao samaki. Mtu toka Ziwani ukimweleza utamu wa ngisi, nguru, pweza n.k atakushangaa sana. Kadhalika yule atokaye ukanda wa Pwani akiambiwa utamu wa nembe, domodomo, ningu na kamongo atakushangaa mpaka umshangae.Yes samaki wa baharini ana taste tofauti .kachangamka zaidi mdomoni