Pata samaki fresh kutoka ziwa victoria

johari Joh

Member
Apr 16, 2025
49
71
Kama unahitaji Samaki weka order yako lipia utumiwe mzigo wako .
• SATO.
1. Wabichi.
2. Kukaanga.
3. Kg 13,000.
• SANGARA.
1. Wabichi.
2. Wakavu.
3. wakukaanga.
4. Kg 11,000.
• DAGAA.
1. Wabichi Kg 5,000.
2. Wakavu Kg 8.000.
3. Wakukaanga. 18,000.
• CAHULA CHA KUKU.
Chakula cha kuku.

Tunatuma mikoa yote.

• Mawasiliano.
Namba ya simu whtspp +255769 443 448

Email johjahari@gmail.com

sama.jpg

samaki.jpg

Samaki3.jpg

Samaki2.jpg
 
Kuna mwingine alishakuja kujitangaza humu kama wewe au sijui ndio wewe, ni mwanamke nilimpigia nikamtumia pesa ila hakuwa muaminifu. Nilinunua dagaa kama kg 100 au zaidi sikumbuki vizuri ila zilizofika Dar hazikufika hata kg 30

halafu zilikuwa mbaya sio nzuri kwa biashara, mzigo ulipofika nikampigia kumwambia ukweli akawa hapokei simu zangu au anakata.. nikapata hasara na mimi nilinunua kwa ajili ya biashara

Tusiwaamini sana watu wa mitandaoni labda kama atakutumia mzigo wako ufike kwanza uukague ndio umtumie pesa, ukituma pesa kabla yatakukuta yaliyonikuta mimi
 
Maisha ni very strange, mimi nipo kanda ya ziwa,lakini nahangaika kupata samaki na sea food. Hakuna kitu natamani kuweka mdomoni mwangu kama Jodari, Kibua, changu, preza, ngisi nk. Hawa Sato na Sangara ni wazuri nakula, lakini samaki wa bahari ni kitu kingine
 
Kuna mwingine alishakuja kujitangaza humu kama wewe au sijui ndio wewe, ni mwanamke nilimpigia nikamtumia pesa ila hakuwa muaminifu. Nilinunua dagaa kama kg 100 au zaidi sikumbuki vizuri ila zilizofika Dar hazikufika hata kg 30

halafu zilikuwa mbaya sio nzuri kwa biashara, mzigo ulipofika nikampigia kumwambia ukweli akawa hapokei simu zangu au anakata.. nikapata hasara na mimi nilinunua kwa ajili ya biashara

Tusiwaamini sana watu wa mitandaoni labda kama atakutumia mzigo wako ufike kwanza uukague ndio umtumie pesa, ukituma pesa kabla yatakukuta yaliyonikuta mimi
Siwezi kukutumia hata dagaa moja bila kulipa pesa yangu yote kwasabu hakuna nfumo huu wabiashara unaotaka kuuleta,kwamba nitumie watu mizigo ningoje waje kunitumia pesa!
Kama umekutana na mtu tapeli ni yule sio kila mtu ni tapeli.
 
Kuna mwingine alishakuja kujitangaza humu kama wewe au sijui ndio wewe, ni mwanamke nilimpigia nikamtumia pesa ila hakuwa muaminifu. Nilinunua dagaa kama kg 100 au zaidi sikumbuki vizuri ila zilizofika Dar hazikufika hata kg 30

halafu zilikuwa mbaya sio nzuri kwa biashara, mzigo ulipofika nikampigia kumwambia ukweli akawa hapokei simu zangu au anakata.. nikapata hasara na mimi nilinunua kwa ajili ya biashara

Tusiwaamini sana watu wa mitandaoni labda kama atakutumia mzigo wako ufike kwanza uukague ndio umtumie pesa, ukituma pesa kabla yatakukuta yaliyonikuta mimi
Mzee wa 'fungua macho'!
Umefanya jambo jema sana kuliweka angalizo hili.
 
Kuna mwingine alishakuja kujitangaza humu kama wewe au sijui ndio wewe, ni mwanamke nilimpigia nikamtumia pesa ila hakuwa muaminifu. Nilinunua dagaa kama kg 100 au zaidi sikumbuki vizuri ila zilizofika Dar hazikufika hata kg 30

halafu zilikuwa mbaya sio nzuri kwa biashara, mzigo ulipofika nikampigia kumwambia ukweli akawa hapokei simu zangu au anakata.. nikapata hasara na mimi nilinunua kwa ajili ya biashara

Tusiwaamini sana watu wa mitandaoni labda kama atakutumia mzigo wako ufike kwanza uukague ndio umtumie pesa, ukituma pesa kabla yatakukuta yaliyonikuta mimi
Pole sana mkuu. Natamani sana nikusaidie kwenye hili swala.

Niko mwanza kwa mda mrefu sana na JF natumia ID hii kwa Miaka 14 sasa
 
Yes samaki wa baharini ana taste tofauti .kachangamka zaidi mdomoni
Kama wewe ni Byesige wa Uganda mwaloni kabisa na Ziwa letu pendwa la Victoria ninakuwa na wasiwasi na hicho unachokizungumzia. Lakini kama ni Byesige wa kuchonga (Mrs) na hasa yule toka pwani ya Bahari ya Hindi, basi itakuwa umeongea ukweli. Ladha ya samaki hutegemea pia na uzoefu wa kuwala hao samaki. Mtu toka Ziwani ukimweleza utamu wa ngisi, nguru, pweza n.k atakushangaa sana. Kadhalika yule atokaye ukanda wa Pwani akiambiwa utamu wa nembe, domodomo, ningu na kamongo atakushangaa mpaka umshangae.
 
Back
Top Bottom