Passport ya safar Sina cheti Cha kuzaliwa

Habaro wakuu

Nimefuata hatua zote za kupata passport mtandaoni ila natakiwa kuwasilisha karatasi form ila viambata vya cheti cha kuzaliwa sina, cheti cha kuzaliwa mzazi sina.

Je, naweza pata passport bila cheti cha kuzaliwa.

Nb: Nina passport ya zamani ila sijawahi itumia
Vyeti hivyo vyote viwili chako na cha mzazi wako vinapatikana RITA
 
Back
Top Bottom