SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 45,880
- 65,481
Tatizo lake kubwa ni ukabilaKinachomsumbua Pasco ni umasikini wa hela , ila huko anakoelekea ndio mwisho wake
Tatizo lake kubwa ni ukabilaKinachomsumbua Pasco ni umasikini wa hela , ila huko anakoelekea ndio mwisho wake
nakala kwa Pascal MayallaUnakuwa Kama mtu mlugaluga au waluwalu asiyejua maana ya "Freedom of Speech " yaani unadhani Twitter ni sawa na magazeti yanayofungiwa na serikali wakati wowote?
Ukitaka kujua Twitter ni Mtandao wa aina gani, na wamiliki wake ni kina nani na nguvu yake ikoje chini ya jua basi Serikali ifuate Ushauri wako kisha waifungie Tanzania.
Yaani US Embassy iingie gizani, iache kuwasiliana na watu wake ambao huwa inawapata kirahisi mno kupitia Twitter, hapo ndo Pasco utaijua Twitter vizuri na ndo utajua kwanini viazi vitamu vinaitwa matobolwa vikikaushwa, na ndo utajua kwanini Trump anashinda Twitter.
Siyo kila jambo ni rahisi kufanyika hapa Duniani Kama unavyodhani,mengine ni ya kutazama na kuacha Kama yalivyo.
Haha unajidanganya hawana uwezo huo, wengi wanachofanya ni kuzuia tu watu washindwe kuipata kwa kutumia mitandao ya nchini, lakini ni rahisi sana kuruka hivo vizuizi.Hakuna lolote serkali ikiamua inafunga tu
Nigeria Twitter ilifungwa wiki
Sijasema Twitter ifungwe, nilichosema ni kuhusu Twitter ni hikiUnakuwa Kama mtu asiyejua maana ya "Freedom of Speech " yaani unadhani Twitter ni sawa na magazeti yanayofungiwa na serikali wakati wowote?
Ukitaka kujua Twitter ni Mtandao wa aina gani, na wamiliki wake ni kina nani na nguvu yake ikoje chini ya jua basi Serikali ifuate Ushauri wako kisha waifungie Tanzania.
Yaani US Embassy iingie gizani, iache kuwasiliana na watu wake ambao huwa inawapata kirahisi mno kupitia Twitter, hapo ndo Pasco utaijua Twitter vizuri na ndo utajua
Siyo kila jambo ni rahisi kufanyika hapa Duniani Kama unavyodhani,mengine ni ya kutazama na kuacha Kama yalivyo.
CCM na Tiss na Polisi wameshindwa kumpata Kigogo2014 Sasa kwa aibu wanataka kuleta hoja za kibwege za kuifungia Twitter.
PASKALI Pascal Mayalla Yale aliyoyasema hakuyasema kwa utashi wake, ametumwa. Siwezi na sitoamini kuwa pascal anaweza kuwa na mawazo ya kale namna hiyo
Hakuna aliyesema Twitter ifungweWanaona njia sahihi ya kumdhibiti Kigogo ni kuifungia Tweeter.
Unazungumzia Nigeria nchi tajiri Africa..usifananishe na vitu vya ajabuHakuna lolote serkali ikiamua inafunga tu
Nigeria Twitter ilifungwa wiki
Mkuu Ahmad Abdulrahman,Namuona Pascal ana-like tu.
Ila Pascal mzee wangu acha unafiki, simamia kweli. Ww ni senior journalist hutakiwi kuonekana kulitumikia tumbo kama vitoto vya hapa majuzi. Kama kuvuna ulishavuna vya kutosha saivi huna cha kupoteza.
Mkuu My Son drink water , nadhani ni busara kufanya update ya bandiko hili kwa kuunganisha post hii Pasco unaijua nguvu ya Twitter?Unakuwa Kama mtu mlugaluga au waluwalu asiyejua maana ya "Freedom of Speech " yaani unadhani Twitter ni sawa na magazeti yanayofungiwa na serikali wakati wowote?
Ukitaka kujua Twitter ni Mtandao wa aina gani, na wamiliki wake ni kina nani na nguvu yake ikoje chini ya jua basi Serikali ifuate Ushauri wako kisha waifungie Tanzania.
Yaani US Embassy iingie gizani, iache kuwasiliana na watu wake ambao huwa inawapata kirahisi mno kupitia Twitter, hapo ndo Pasco utaijua Twitter vizuri na ndo utajua kwanini viazi vitamu vinaitwa matobolwa vikikaushwa, na ndo utajua kwanini Trump anashinda Twitter.
Siyo kila jambo ni rahisi kufanyika hapa Duniani Kama unavyodhani,mengine ni ya kutazama na kuacha Kama yalivyo.
masikini Pasco utaeuzi ndiyo basi tena.Mkuu My Son drink water , nadhani ni busara kufanya update ya bandiko hili kwa kuunganisha post hii Pasco unaijua nguvu ya Twitter?
P
Shoka Lipo Shinani
Mti Usiozaa Wakatwa, Shoka Lipo Shinani!
Ajaye Atabatiza Kwa Moto!!
Sijasema Twitter ifungwe, nilichosema ni kuhusu Twitter ni hiki
P
- https://www.jamiiforums.com/threads...su-chastity-of-a-woman-ni-kosa-kubwa.2204160/Naendelea kusisitiza hili kwa kinachoendelea mitandaoni kumchafua Maza!. Kesho Konda Boy awataje wanaomtuma huyo kichaa, ili tuhangaike nao!.
P
Haina haja, wameshajitaja wenyewe Kwa kauli zao. Konda boy OYEEEEE......Naendelea kusisitiza hili kwa kinachoendelea mitandaoni kumchafua Maza!. Kesho Konda Boy awataje wanaomtuma huyo kichaa, ili tuhangaike nao!.
P