Papa kutokea Afrika bado sana. Yasijetokea kama pale UN iliposhikwa na Koffi Anan

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
9,650
15,147
Kanisa katoliki tangu hapo limekumbwa na kashfa kubwa sana ndani ya uongozi wake wa juu na ndani ya makao yake makuu.Hata mapapa wawili waliotangulia wametajwa kuhusika kuyapa kipaumbele baadhi ya mambo ambayo waumini wameyaona ni kinyume na mafundisho ya kanisa.

Hata hivyo mapapa hao kuna sehemu walikuja juu na kutumia siasa kuzima baadhi ya mambo mazito.
Iwapo kanisa litakosea stepu na kuchagua papa kutoka Afrika hasa kusini ya jangwa waliko watu wa rangi tofauti,basi hali itafikia pabaya na kanisa litaunganishwa moja kwa moja kwenye mambo ya kiyahudi bila kujua wala kutaka.

Kusini ya jangwa la Afrika kanisa katoliki limeshatekwa sana na wasabato wanaojiita walokole.Si rahisi kuwatofautisha tena.
 
anan alifayaje? alifanya "kituko/vituko" gani?
 
Hivi ccm kwa uzoefu wao wa kupata ushindi wa kishindo, hawawezi kuwasaidia wale Makadinari wa Afrika ili mmoja wao aweze kupata kura nyingi za kumfanya awe papa wa kwanza mwafrika ?
 
Hata na wewe usiache kuwaogopa.Kwani tumeambiwa kwa tabia zao tusiwakaribie.
daima wana vita na Mungu na wanadharau sana aliyoumba Mungu (Allah)
Wayahudi hawana muda na allah, huyo allah anawahusu tu waarabu wanaofagilia utamaduni wao wa karne ya saba.
 
Haya mambo ni siasa na kutokutokea sio sababu ya rangi bali lobbying power yake na kama watu watachagua kulingana na watu wao basi hawezi kupata...; hata bookies wanafahamu hilo

Of the 108 cardinals who were appointed by Francis and are currently eligible to vote, 38% are from Europe, 19% are from Latin America and the Caribbean, 19% are from the Asia-Pacific region, 12% are from sub-Saharan Africa, 7% are from North America and 4% are from the Middle East and North Africa.
 
Mwaka huu watamjua Allah ni nani kwao.
Wanawaua na wataendelea kuwaua na hakuna atakachofanya huyo allah wao kwa sababu he is a fictitious God who expects people to fight and die for him allegedly in return for him to award them with the mythical 72 virgins in akhera...😂😂😂
 
Hata na wewe usiache kuwaogopa.Kwani tumeambiwa kwa tabia zao tusiwakaribie.
daima wana vita na Mungu na wanadharau sana aliyoumba Mungu (Allah)
Uongo. Lini Wayahudi wamewahi kuanzisha vita popote duniani? Always huaga wanachokozwa, wakijibu kwa ukali mnalalamika. Msiwachokoze tuone kama watashambulia anywhere or anybody. Alaaniwe yule aliye fikiria na kutekeleza lile shambulio la October 07, 2023. Matokeo yake, Lebanoni imeathirika, Gaza yamebaki magofu na sidhani kama kuna Mpalestina atarudi tena pale, baadhi ya defensive system za Iran zimeathirika, rais wa Syria kapinduliwa na watu wengi sana wamekufa just because of fala mmoja aliyesababisha haya yote
 
Back
Top Bottom