Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 9,644
- 15,143
Kanisa katoliki tangu hapo limekumbwa na kashfa kubwa sana ndani ya uongozi wake wa juu na ndani ya makao yake makuu.Hata mapapa wawili waliotangulia wametajwa kuhusika kuyapa kipaumbele baadhi ya mambo ambayo waumini wameyaona ni kinyume na mafundisho ya kanisa.
Hata hivyo mapapa hao kuna sehemu walikuja juu na kutumia siasa kuzima baadhi ya mambo mazito.
Iwapo kanisa litakosea stepu na kuchagua papa kutoka Afrika hasa kusini ya jangwa waliko watu wa rangi tofauti,basi hali itafikia pabaya na kanisa litaunganishwa moja kwa moja kwenye mambo ya kiyahudi bila kujua wala kutaka.
Kusini ya jangwa la Afrika kanisa katoliki limeshatekwa sana na wasabato wanaojiita walokole.Si rahisi kuwatofautisha tena.