Papa Francis aonya Mapadri, Watawa kuangalia video za ngono

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,941
19,217
Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tatizo kubwa kwani hata Mapadri na Sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video.

Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za mitandaoni kwani hapo ndio njia ya shetani kuwaingia.

=====/

Pope Francis has warned priests and nuns about the dangers of watching pornography online, saying it "weakens the priestly heart".

The Pope, 86, was responding to a question about how digital and social media should be best used, at a session in the Vatican.

Pornography, he said, was "a vice that so many people have... even priests and nuns".

"The devil enters from there," the Pope told priests and seminarians.

As to how to navigate social media and the digital world, he said that they should be used but told them not to waste too much time on it.

"The pure heart, the one that Jesus receives every day, cannot receive this pornographic information," he said.

He advised the group to "delete this from your phone, so you will not have temptation in hand".

Church teaching sees pornography as an offence against chastity.
 
Papa Francis amewaonya makasisi na watawa kuhusu hatari ya kutazama video ama picha za ngono (ponografia) mtandaoni akisema "inadhoofisha moyo wa kipadre".

Papa, mwenye umri wa miaka 86, alikuwa akijibu swali kuhusu jinsi vyombo vya habari vya kidijitali na kijamii vinapaswa kutumiwa vyema, katika kikao kilichofanyika Vatican.

Ponografia, alisema, ilikuwa "tabia ambayo watu wengi wanayo... hata makasisi na watawa". "Ibilisi huingia kutoka huko," Papa aliwaambia makasisi na waseminari.

Kuhusu jinsi ya kuvinjari katika mitandao ya kijamii na ulimwengu wa kidijitali, alisema ni lazima zitumike lakini akawaambia wasipoteze muda mwingi kuzitumia.

"Moyo safi, ambao Yesu anapokea kila siku, hauwezi kupokea habari hizi za ponografia," alisema.

Aliwashauri "futa (picha na video za ngono) kutoka kwa simu yako, ili usiwe na majaribu mkononi".

Mafundisho ya kanisa huona ponografia kama kosa dhidi ya usafi wa maadili.

============

Even nuns watch porn, Pope says, warning of risks

Pope Francis has warned priests and nuns about the dangers of watching pornography online, saying it "weakens the priestly heart".

The Pope, 86, was responding to a question about how digital and social media should be best used, at a session in the Vatican.

Pornography, he said, was "a vice that so many people have... even priests and nuns".

"The devil enters from there," the Pope told priests and seminarians.

As to how to navigate social media and the digital world, he said that they should be used but told them not to waste too much time on it.

"The pure heart, the one that Jesus receives every day, cannot receive this pornographic information," he said.

He advised the group to "delete this from your phone, so you will not have temptation in hand".

Church teaching sees pornography as an offence against chastity.

Source: BBC
 
Papa Francis amewaonya makasisi na watawa kuhusu hatari ya kutazama video ama picha za ngono (ponografia) mtandaoni akisema "inadhoofisha moyo wa kipadre".
Yeah. Huo ni Ushauri wa Kiongozi huyo unaofaa kuzingatiwa na wahusika kwani hali sio shwari huko Ndani ya kanisa. Lakini ushauri kama ushauri na utekelezaji wake ni jambo la mtu binafsi zaidi. Kuangalia picha sio kosa; kosa ni kutenda kama ulivyoona katika picha.

Yaani moyo unachafuka kwa hisia zilizotokana na picha ulizoona halafu mwili unakuwa umejaa shauku( matamanio)ya kutenda kama ulivyoona katika picha/clip.

Sasa Hoja inakuja:

1. Je, Ulivyoona ktk. clip uliona ni kitu inakubalika kimaadili, kijamii au kisheria?

2. Je, uliona wahusika wakishtakiwa mbele ya sheria au aibu waliyopata baada ya kubainika matendo yao?
Picha na clips zote huwa hazioneshi hayo i.e. #1 na 2 kwani zitakuwa zimechukua zaidi sura ya mafundisho kwa mtazamaji badala ya kuwa ni kishawishi (Lengo)kutoka kwa Ibilisi. Sasa ww Mtumishi (makasisi na watawa ) jichanganye ufanye/utende kama ulivyoona katika picha/clip halafu utatafuta mwenyewe majibu ya #1 na #2 au na zaidi.
 
Yani unaenda kinyume na nature?
Unapambana na ukuta?
Padri asioe, asicheki porno, asifanye masturbation
Kibuyu kikijaa afanyeje?
Ndiomaana wanaishia kubaka vitoto
Mkuu, Nature unayoitaja hapo ni ipi? Kulawiti sio nature. Padri kutokuoa alipenda mwenyewe kwa hiari yake akiwa na akili timamu. Padri hajakatazwa kuangalia Porn wala kunyetuka. Hilo ni la binafsi zaidi.- Ni yeye na moyo wake ila anajua hakuna lililofichika mbele ya Mungu. Mungu aonaye sirini ndiye atakaye mhukumu (Atakaye muwajibisha)

Kubaka vitoto au Ubakaji haujawa unafanywa na Mapadre tu au viongozi wa Kanisa bali ni aina zote za watu(Bila kujali Imani zao) wote na ni makosa yaliyokithiri siku hizi katika Jamii.

Padre hajafungwa/hajazuiliwa kuoa(nadhani utastuka) akitaka kuoa aache Upadre kwa kufuata Utaratibu na kisha aende kuoa -Tena ndoa ya Kanisani.

Halafu mkuu; Naomba nikutanabahishe (seriously)kuwa Hakunaga cha "Kibuyu kujaa".Hilo halipo-Take it from me au waulize wanaBiologia popote duniani. Mfumo wa mwili ulivyo (Reproductive System) hujirekebisha wenyewe. Wale wasemao "Kibuyu kimejaa" ni neno ambalo ni scape goat ya wao kuhalalisha makosa/vitendo vyao viovu.
 
Sio kwa watawa tuu hata kwa wanandoa video za ngono sio za kuangaliwa
Hazina maana kabisa
Mmmm..Sikubaliani sana na hilo kwamba hazina maana kabisa. Ni Lazima mama D ujue kwamba wanao zalisha hizo Clips wako kibiashara zaidi - usidhani wanaEnjoy -Hapana.
Ni kwa njia hiyo mkono unaenda kinywani.

Lakini pia Huwezi kuishi umejifungia tu ndani ya box lako - ni lazima ujue na kinachoendelea huko nje.Yale yanayoendelea huko nje na unatakiwa uwe na habari nayo ni pamoja na uwepo wa utitiri wa Porn videoclips . Sasa utajua ubaya/madhara ya hizo porn clips ni yapi na Zinapatikana wapi n.k. ili leo na kesho ukimwona umpendaye akiwa katika eneo la "Zinapatikana wapi" uweze kumshauri(adult) au kumkataza(mtoto).
 
Ukishakuwa mwanadamu lazima uwe na hamu yakuliwa na kula so hizi ni dini tu ila uhalisia haiwezekani
Bibie; Inawezekana kabisa.Mfano hai ni Yesu mwenyewe. Yesu alikuwa mwanadamu alkini pia wapo wengi tuu walioweza kutoka mataifa mbalimbali duniani (including wanasayansi maarufu) hata hapa tz. We fuatilia tu utawajua.
 
Back
Top Bottom