Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,429
- 24,164
Ila? Sanamu zilizojaa makanisani, mnayoibusu na kuisujudia??? Wake up, don't be a religious fool.▪︎ Hatuabudu sanamu
Mungu anabudiwa katika Roho na Kweli. Yohana 4:24.
Siku ya kuwaombea wafu inahusikaje na wokovu?▪︎ Hatuabudu wafu
^Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu.^▪︎ Hatumwabudu Mama Bikra Maria mama wa Mungu
Sala ya Ukatoliki inaenda namna hiyo. Hiyo ni ibada ya wafu.
👉Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo. ~ Matendo 4:12
▪︎ Hatuungami kwa Padre, tunaungama kwa Mungu kupitia kwa Padre kama alivyotuagiza
👉Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote. ~1 Yohana 1:9
Hakuna padre aliyetajwa hapo wa kuungamiwa dhambi zetu wala kutumika kama kiunganishi kati ya mdhambi na Mungu.
Kwa sababu Kristu ndiye Kuhani Mkuu kwetu, nasi Wakristu woote kwa pamoja ni ^ukuhani wa kifalme^
👉Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake Yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu. 1Pet. 2:9
Inasikitisha na ni aibu pia kwamba Ukatoliki unafundisha kinyume na hilo Neno.Shida yenu mkikariri vimistari viwili vitatu kutoka kwenye Biblia
👉Lakini Yeye [Kristu] alisema, Afadhali, heri walisikiao neno la Mungu na kulishika. Luka 11:28