TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

Hii ni kutoka BBC sasa hivi

London: Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.

The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.

He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.

View attachment 3310870
Apumzike kwa Amani!!
 
Screenshot_20250421-111616_Instagram.jpg
mbona jana alikua mzima kabisa!
 
Apumzike kwa amani mzee.

Kuna kijana mmoja hua anafanya utani mitandaoni anasema mungu anakupa ugonjwa ufe mapema urudi kwake halafu unamzunguka unaenda hospitali.

Inakuja swali, kwa nini viongozi wa dini wakiugua wanakimbilia hospitali wakati wanahubiri kwamba Mbinguni ni pazuri, pana kila kitu, Pombe, wanawake wazuri mabikra 72, misosi mizuri, bustani, hakuna magonjwa wala maumivu yoyote, ni raha mustarehe milele na milele lakini wakiugua hata mafua tu wanakimbilia hospitali, wanaogopa nini kufa wakaende kula raha huko mbinguni? Ama hawaamini wanachokihibiri? Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
Mkuu, sio kila wakati ukiugua unaenda hospitali sababu unaogopa kufa, wakati mwingine unachoogopa ni kuishi huku ukiugua, japo upo sahihi, kuna harufu ya utapeli kwenye dini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom