screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,845
- 15,823
Dah nilikuwa nakusalimia tuTakwimu huwa haziweki mchanganuo wa rika la jinsia zote mbili,
Kwa mujibu wa takwimu wanawake ni wengi , hapa wanamaanisha jumla ya idadi ya
1.watoto wadogo wa kike under 18 age
2.vigori (ambao hawajaolewa)
3.walio olewa
4.vikongwe( ma bibi)
Mwanamke huzeeka il a mwanaume hazeeki na hatosheki wanaume walio oa na wasio oa pamoja na wazee wote hushambulia kundi la pili , yaani simba ni wengi kulikoswala lazima simba wafe kwa njaa,
Ndicho hicho unachokizungumzia hapa.
Ngoja nikaangalia cinema kwanza nitarudi kumalizia.