Mbumbumbu unabadilika kama bendera fuata upepo, si wewe ndiye uliyekuwa unaisifia Yanga FC humu JF ukiomba ulinzi Makolokolo wenzio wasikupopoe kwa kejeli?Wewe kunenea wenzio eti wanataka kuwa mazombi, mara eti kwenda mirembe hayo sio matuc, ila kipigo mchopata kimewaacha na mahasira kibao.
Ni mwendo wa kuwapuuza tu Mbumbumbu kama ninyiUle mwiko kule nyuma kama slogan yenu sio tusi au mtukanaji kwa vile yuko upande wenu mnaona sawa?
Kumbe MNATUFUATILIA kwa karibu .Mbwembwe zote kusogeza mbele mpaka game za mnyama ili haya majamaa yaone kweli yanakazi ya kuleta heshima hapa nchini, matokeo yake yamekalia michambo na kuwatusi watu ambao hawajawakosea.
Matokeo yake ndo haya sasa tumeyaona taifa linaingia aibu kwelikweli.
Yaani unasawazisha goli kabla hujamaliza kushangilia kwa nguvu utafikiri umechukua ubingwa unachomekwa cha pili na nguvu zinakuishia na mimba inaingia.
Asante sana USM Alger kwa kuleta furaha hapa nchini na sisi waarabu wenzenu tupo nyuma yenu. NGUVU MOJA.
Acha zako wewe mtopwenga, sikuwa nawatakia ushindi uto mimi, ila nilikuwa natoa tahadhali juu ya kiwango kibovu walichoonesha usma dhidi ya asec nusu final, ikumbukwe nilisema natamani uto wakandwe kama itawezekana.Mbumbumbu unabadilika kama bendera fuata upepo, si wewe ndiye uliyekuwa unaisifia Yanga FC humu JF ukiomba ulinzi Makolokolo wenzio wasikupopoe kwa kejeli?
Kiko wapi sasa juu ya msimamo wako
Kweli Mbumbumbu ni Mmasai hakawii kukuachia shuka akiona mambo tofauti
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Unampuuzaje mtu ambe bado unamquote? Andazi fc shida sana
Imepenya hiyo tena kwenye mfupa ikikuuma sana ichomoeUnampuuzaje mtu ambe bado unamquote? Andazi fc shida sana
Hawa Uto ni vilaza haswaa...yaani unasawazisha goli halafu ndani ya dakika moja baada unazubaa na kupigwa la pili. Ni ishara kwamba USM walikuwa wamewadharau sana.
Hawa Uto watuambie kwa sasa wanachagua nini kati ya Mwarabu na andazi?
Wamelowaaaaaaaaaaaaa
Wamenyeshewa na mvuaaaaaaaaa
Kwani Simba mnagombea kitu gani kwenye ligi?Mbwembwe zote kusogeza mbele mpaka game za mnyama ili haya majamaa yaone kweli yanakazi ya kuleta heshima hapa nchini, matokeo yake yamekalia michambo na kuwatusi watu ambao hawajawakosea.
Matokeo yake ndo haya sasa tumeyaona taifa linaingia aibu kwelikweli.
Yaani unasawazisha goli kabla hujamaliza kushangilia kwa nguvu utafikiri umechukua ubingwa unachomekwa cha pili na nguvu zinakuishia na mimba inaingia.
Asante sana USM Alger kwa kuleta furaha hapa nchini na sisi waarabu wenzenu tupo nyuma yenu. NGUVU MOJA.
Hatuzungumzii ligi hapa, tunazungumzia uto kuwa timu bovu la kwanza kuleta kombe la africa hapa nchini nasema haiwezekani, nasisitiza haiwezekana mamaqe na mpigwe tu mpaka akili ziwakae sawa msiwe mnalinganisha watu na lindazi,Kwani Simba mnagombea kitu gani kwenye ligi?
Mbona Yanga ameshamaliza ligi au unaota?
Hawa Uto watuambie kwa sasa wanachagua nini kati ya Mwarabu na andazi?
Chomoa kwanza ule mwiko wenu huko nyuma tangu 1935 bado mnaoImepenya hiyo tena kwenye mfupa ikikuuma sana ichomoe
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app