Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,480
- 8,021
Mbwembwe zote kusogeza mbele mpaka game za mnyama ili haya majamaa yaone kweli yanakazi ya kuleta heshima hapa nchini, matokeo yake yamekalia michambo na kuwatusi watu ambao hawajawakosea.
Matokeo yake ndo haya sasa tumeyaona taifa linaingia aibu kwelikweli.
Yaani unasawazisha goli kabla hujamaliza kushangilia kwa nguvu utafikiri umechukua ubingwa unachomekwa cha pili na nguvu zinakuishia na mimba inaingia.
Asante sana USM Alger kwa kuleta furaha hapa nchini na sisi waarabu wenzenu tupo nyuma yenu. NGUVU MOJA.