Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,966
- 5,347
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, John Pambalu amedai kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanafanyishwa kazi ambazo si jukumu lao kuzifanya ikiwamo kutengeneza barabara, ili wapewe pesa za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF).
Pambalu ameyasema hayo siku ya Jumapili Februari 16, 2025 wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani Igunga mkoani Tabora.
Pambalu ameyasema hayo siku ya Jumapili Februari 16, 2025 wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika wilayani Igunga mkoani Tabora.