mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,097
- 9,671
Imebidi niingilie kwani kwa Gwajima ndio mahakama?Nilienda kusikiliza kesi ya Daudi imefikia wapi na si kutolewa mapepo....lol
Imebidi niingilie kwani kwa Gwajima ndio mahakama?Nilienda kusikiliza kesi ya Daudi imefikia wapi na si kutolewa mapepo....lol
Uingilie nini labda mwenzetu?Imebidi niingilie kwani kwa Gwajima ndio mahakama?
Kuna watu walikuwa wanajibishana ss kilichoniacha hoi mmoja akasema alienda kwa Gwajima kusikiliza kesi ya Bashite ilipofikia sio kutolewa mapepo.Uingilie nini labda mwenzetu?
Gwajima ndio msemaji mkuu wa mkoa wa Dar es salaamKuna watu walikuwa wanajibishana ss kilichoniacha hoi mmoja akasema alienda kwa Gwajima kusikiliza kesi ya Bashite ilipofikia sio kutolewa mapepo.
Mjomba hili kanisa lina vumbi hakuna saruji humu. Ila tunaishi kwa amani na waumini wote. Huko kutuna ni upepo tu si unajua mitepeto hiiPastor Achachanda naona umejitwalia mteketeke kabisa, saaafi kabisa. Habari za siku Mpwa