House4Sale Pagale linauzwa na bank, tshs.6 milioni, udindivu,Mapinga-Bagamoyo

Ni umbali wastani wa kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo,
Kituo ni MAPINGA SHULE.

Upande wa kulia ukielekea Bagamoyo kutokea Dar.

Pagale limeishia kwenye hatua ya Linta kwenye ujenzi.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 280.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Vyumba 3 (Masta)
Pia Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

☆Nyumba imejaa kwenye Kiwanja.

_________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

_________mpg

Ukihitaji kukagua taarifa mapema
acha utapeli fanya kazi
 
We Kwa akili Yako tangu lini dalali akauza kiwanja kilichochukuliwa mkopo bank na isiwe benki yenyewe kupiga mnada fanya kazi acha ujinga wazembe wameisha
Ndio ujue huyu jamaa ni kanjanja na/au tapeli mkubwa. Tena dalali anaweka na Cha kwake kabisa na sio mnada wa Bank.
 
We Kwa akili Yako tangu lini dalali akauza kiwanja kilichochukuliwa mkopo bank na isiwe benki yenyewe kupiga mnada fanya kazi acha ujinga wazembe wameisha

Aliekuambia hiki ni cha kwanza kuzwa nani?

Endelea kukumbtia umbumbumbu, huenda unajulipa.
 
Ni umbali wastani wa kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo,
Kituo ni MAPINGA SHULE.

Upande wa kulia ukielekea Bagamoyo kutokea Dar.

Pagale limeishia kwenye hatua ya Linta kwenye ujenzi.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 280.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Vyumba 3 (Masta)
Pia Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

☆Nyumba imejaa kwenye Kiwanja.

View attachment 3310305
_________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

_________mpg

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Mbona hakuna maandishi ya kuwa panauzwa na bank mkuu!
 
Back
Top Bottom