acha utapeli fanya kaziNi umbali wastani wa kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo,
Kituo ni MAPINGA SHULE.
Upande wa kulia ukielekea Bagamoyo kutokea Dar.
Pagale limeishia kwenye hatua ya Linta kwenye ujenzi.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 280.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3 (Masta)
Pia Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
☆Nyumba imejaa kwenye Kiwanja.
_________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema
We Kwa akili Yako tangu lini dalali akauza kiwanja kilichochukuliwa mkopo bank na isiwe benki yenyewe kupiga mnada fanya kazi acha ujinga wazembe wameishaKiwe na Kesi na hapohapo Mmiliki kaweza kuchukulia Mkopo,
Unajielewa kweli wewe?
Ndio ujue huyu jamaa ni kanjanja na/au tapeli mkubwa. Tena dalali anaweka na Cha kwake kabisa na sio mnada wa Bank.We Kwa akili Yako tangu lini dalali akauza kiwanja kilichochukuliwa mkopo bank na isiwe benki yenyewe kupiga mnada fanya kazi acha ujinga wazembe wameisha
Ukiifungua tu hiyo websites uni tagPagale kama linauzwa na benki dalali wa nini!
Niko kwenye hatua ya mwisho ya kufungua website ya nyumba zinauzwa, zinapangsihwa.
Chizi huyo Hana kazi ya kufanya naona anahangaika Kila mahaliNdio ujue huyu jamaa ni kanjanja na/au tapeli mkubwa. Tena dalali anaweka na Cha kwake kabisa na sio mnada wa Bank.
We Kwa akili Yako tangu lini dalali akauza kiwanja kilichochukuliwa mkopo bank na isiwe benki yenyewe kupiga mnada fanya kazi acha ujinga wazembe wameisha
Ni umbali wastani wa kilomita 2 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo,
Kituo ni MAPINGA SHULE.
Upande wa kulia ukielekea Bagamoyo kutokea Dar.
Pagale limeishia kwenye hatua ya Linta kwenye ujenzi.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 280.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3 (Masta)
Pia Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
☆Nyumba imejaa kwenye Kiwanja.
View attachment 3310305
_________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Mapinga ipi mkuu!viwanja vya mapinga vina kesi mahakamani kuweni makini
Mbumbumbu ni wewe usiejua kutafuta pesa unataka kuletewa miaka hii hiyo haipo fanya kazi utaliwa mtaroAliekuambia hiki ni cha kwanza kuzwa nani?
Endelea kukumbtia umbumbumbu, huenda unajulipa.