P.W.Botha nakumbuka maneno yako

Hayo maneno aliongea katika context gani? Leo unashindwa kupinga hayo maneno kwa utafiti upi uliofanya?

Huyo Botha aliongea hiyo kauli kwenye kipindi ambacho apartheid imeshika kasi South Africa, so chochote kilichotamkwa au kufanywa na serikali yake kilikuwa influenced na mazingira hayo.
 
Ulisema:".....African's can not rule themseleves.Give them guns and they will kill each other.They are good in nothing else but makingi noise, dancing,marrying many wives and indulging in sex....."


Kama kweli unamkumbuka huyo mtu na kama ni kweli aliyasema hayo maneno basi wewe utakuwa ni mmoja kati ya watu wasiokuwa na akili Dunia hii kwa maana kumkumbuka na kukubali alivyosema (kama ni kweli aliyasema hayo maneno) ina maana na wewe pia uko hivyo au ulifikiri labda hayo maneno hayakukujumuisha na wewe na kwamba angekuona (Botha) angekuwekea red carpet kwa sababu wewe ni better nigga?

Unajidanganya kwa Mzungu ukubaliane naye au usikubaliane wewe na yule na mimi wote nigga tu!
 
kule ukraine wanapgana vita,yugoslavia juzi tu hapa,isitoshe watu weupe wameona wafanye movie za ngono na kuuza,na soko kubwa lipo hukohuko kwao
 

Ndio sababu ulifeli mitihani. Kichwa nazi ndani maji tupu.
 
You are right but wa south Africa ni waafrica alio kuwa anawa address lakini haiondoi maneno
hayo kuwahusu waafrica wengine wanao tenda aliyo yasema.... najua ndani ya roho/moyo wako unakubaliana na Botha (maana moyo huwa haudanganyi) ila mihenuko inakufanya ujitoe
ufahamu....
 
Kwahiyo kwasababu Botha amesema tayari hiyo kauli inakuwa ukweli?
 
Povu halibadili ukweli!
 
Ukweli unauma.Punguza hasira!

Aha wapi, upuuzi wa kumshangilia Botha, hivi unajua ni Watanzania wangapi walipoteza maisha kwa sababu ya sera na maamuzi ya huyo Botha? Leo hii kusikia nyie vijana mnamhusudi mtu aliyaona nyie ni sawa na nyani hata kuwaua kama sio wendawazimu ni nini?
 
http://www.businesstimes.co.tz/index.php?option=com_content&id=3345:revisiting-the-1985-p-w-bothas-crossing-the-rubicon-speech&Itemid=60 Kama sisi ni "Great Thinkers" ni lazima pía tusome critically data ya internet. Speech ya Botha ya 1985 inapatikana Google KWA mfano nelsonmandela.org.... Tena tukisoma link ya business times tunaweza kujifunza zaidi. Kama amesema maneno haya kweli sijawahi kujua wapi na lini. Lazima tukomoe sana sera za ubaguzi na colonialism, lakini pía tujue ukweli. Botha alikuwa mkatili na mbaguzi lakini pia alikuwa mwanasiasa mjanja sana, kwa hiyo alijua hawezi kutamka maneno kama haya hadharani.
 
huo ndio ukweli na unauma. Unadhan sisi waafrika tunapendana. Tukubali ukweli na tubadilike ndio njia pekee ya kujikomboa. Hali yetu miafrika kiuchum kijamii na kisiasa ni mbaya Sana na cha kuhuzunisha inaintesify na kurithiana inaniuma hadi jamii ya Roma Gypsies wanatudharau
 
That is how we are. Ukubali usikubali. There is nothing valuable we can do, there is nothing we can change. Angalia kinachoendelea nchini watu wanalialia tu. Sukari inapanda kiholela viongozi wetu wakuu wanakuja na matamko, matamko yao hayatekelezwi. What kind of research do you need to prove our failure? We are the most failure specie on this planet. Hata tufanyeje, bila kubadili mindset zetu tutaendelea kubaki hivyo tu.
 
Sukari imepanda kwasababu ya forces za demand and supply, siyo kwasababu viongozi wanatoa matamko halafu hayatekelezeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…